kikundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  2. Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  3. Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

    Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri?? Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo...
  4. VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  5. Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

    Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
  6. Hivi Mnajua Mahakama Rasimi imeitambua BAKWATA kama kikundi Cha Wahuni tu, ambacho hakiwakilishi Waislam?

    Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?. Miaka yote , CCM na magengen Yao...
  7. 4

    Kikundi cha utekaji hamko salama kama mnavyofikili, wakuu wakiamulia kufyekelea mbali wiki mbili nyingi sana

    BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa. Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
  8. Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

    GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote 1. Mdude 2.kibao. 3. Polepole 4.Mawazo 5. Ben saanane 6. Soka 7. Ndugai 8. Jenista 9...
  9. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  10. PostGE2025 Tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu ambao hawajitambui muwe mnaelewa

    Wanaukumbi. HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa.. 1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na waligomea uchaguzi na walisema uchaguzi hautafanyika 2. Wanataka kuwe na serikali ya mpito iongozwe na...
  11. Kupitia hii post ya Askofu Mwamakula huenda askofu ana kikundi cha utesaji

    Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
  12. M

    PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

    Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽 Wanajua...
  13. Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  14. Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  15. S

    Leo kajitokeza mmoja, sitashangaa kesho kuona kikundi kimejitokeza

    Kwa mtazamo wangu, mimi naona huu ni mwanzo tu na sitashangaa kesho, keshokutwa au siiku nyingine yoyote, linajitokeza kundi kubwa zaidi na kunena mazito ikiwamo kutoa ultimatum. Muda utaongea.
  16. Uholanzi yaungana na Marekani kukipa hadhi ya ugaidi kikundi cha ANTIFA

    ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu. Soma pia...
  17. M-Koba na M-wekeza?

    Je, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
  18. Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao. Moja yao wapo hapa JF. Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
  19. Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  20. N

    Nafasi ya master planner haiwezi kamwe kubaki wazi, akitoka tu mwengine au kikundi kitaijaza, Mnataka master planner mkabila / mkanda / mdini ?

    Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani. Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda huo huo haraka sana. Na wataojaza kuna risk kubwa wawe wametoka kabila kubwa (Nyerere alishaelezea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…