Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.
Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake
Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana
Makonda ni mara...
Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.
Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani.
Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
Rais wa Marekani, Donald Trump, siku ya Alhamisi alitoa ishara ya uwezekano wa kumalizika kwa ongezeko la ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, ongezeko ambalo limeyumbisha masoko ya fedha duniani. Pia alieleza kuwa makubaliano kuhusu hatma ya jukwaa la mitandao ya kijamii la TikTok...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
Watoto wakike hasa wakisha pevuka wanaishi katika changamoto nyingi sana maana wanakumbana na Vista wishing vingi sana,changamoto hizi huongezeka pale inapotokea mtoto wa kike hapati attention ya kutosha kutoka kwa wazazi wake.
Mfano Kuna mtoto ana umri wa miaka 16 yupo kidato cha nne tangu...
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike.
Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Sifa zangu
1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe
2) Culture ya maisha yangu ni Vegan
3) Umri wangu ni 35
4) Ni mweupe, Mtanzania
5) Nimejiajiri
Sifa za ninayemtaka
1) Awe mweusi wa asili
2) Awe mrefu na sio mfupi
3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza
4)...
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...
Yale ambayo baba yake alikuwa analalamika kuhusu mama yake 70%+ ni ukweli, wala alikuwa hamuonei mama yake.
Mapenzi ni shirikisho la mifumo hisia yenye kuidanganya nafsi yako kuwa hisia uliyonayo ina nguvu kuliko akili yako thus inakupatia faraja na matumaini bandia.
Tungi na shisha ni...
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Awe anaishi Dar Nipigie kwa simu 0674626208...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?
Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti).
Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata bdae.
Inajulikana, kiasili kijana wa kike anaenda sawa na baba kwa sababu ni ngumu au kuna uzito...
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.