Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

Ajoke

New Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Awe anaishi Dar Nipigie kwa simu 0674626208
Saloon iko Mkwajuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom