Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.
Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?
Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish.
Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende.
Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
Jinsia: Kike
Uzoefu: Mwaka 1
Vigezo: 1.Awe anajua kutumia computer na kutumia application zote muhimu za Microsoft Office kwa ajili ya huduma za Stationery
2. Kufanya application zote muhimu katika tovuti za serikali na zinginezo
4. Awe anajua kutumia mashine na vifaa vya stationery
3. Awe...
Hamjambo!
Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu.
Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake.
Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao.
Wanapendwa...
Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume.
Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma.
Vigezo
1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa
2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level
3. Awe mbea
4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke.
5. Wazazi/walezi...
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar.
Mfanyabiashara.
Karibu atakayependezewa.
Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.
Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.
Maeneo ni dar na dodoma.
Karibuni PM.
Habari ndugu zangu
Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N"
"Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
Ndugu wanajamii,
Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
KWEMA WANAJUKWAA.
Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli.
Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali.
Natanguliza shukrani...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
🍼 Sababu za Msingi Zinazomfanya wanyama Jike Kushindwa Kutoa Maziwa + Suluhisho Kamili
---
🔍 Tatizo ni nini?
Nguruwe jike asipotoa maziwa, watoto hukosa lishe ya awali (colostrum) muhimu kwa kinga na ukuaji. Hali hii huathiri uzalishaji na afya ya watoto, hivyo...