Yaani sijui kwa nini salon za kike zinasifika sana kwa umbea, kila atakayepita macho nje kumchungulia na kumchunguza wajue mtu kavaa nini, anakwenda wapi yaani ni vituko.
Sasa juzi nilikwenda salon kusuka zikaanza mada za watu mbalimbali yani kujadili watu, kuna mdada mmoja alipita ile kukata...