kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Niko Mbeya natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hakuna maisha bila watoto wa kike. Nimechoka

    Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu. Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike nchini Salama Ngale inahairishwa hairishwa tu sana?

    Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu. Haiingii Akilini yaani Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike wa Soka nchini Salama Ngale mpaka sasa imeshahairishwa...
  4. Dr Kelvin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

    Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba? Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM) Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
  5. Ndama Jeuri

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike muislamu

    Awe muislamu Umri 20-30 Hajawahi kuolewa kama ana mtoto asizidi mmoja kabila lolote lile. Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea. Sifa zangu Umri 33 Mtumishi serikalini Sijawahi kuoa Mengine mengi tutajuzana PM ALIYE INTERESTED ANICHEK PM,tukimatch tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hata wanawake wanapenda mabosi wa kiume, weka hapa mkasa wako wa boss wa kike

    Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea, Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita...
  7. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya viatu vya kike simple shoes per caton (36)

    Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

    Utapeli ni janga kwenye jamii yetu, angalia hapa jinsi jamaa alivyowatapeli Benki mkopo wa 50 Million. Nini maoni yako?
  9. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

    Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake. Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira . Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama . Pita shule zilizopo...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

    Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia. Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaume mfano Ze Comedy kuvaa nguo za kike na television ya Taifa na media kuwaruhusu kurusha vipindi vyao siyo kumomonyoa maadili?

    Tunapiga vita mmomonyoko wa maadili kila siku. Tunalalamika katuni na vitabu vinavyoletwa kwetu vinamomonyoa maadili. Lakini wakina JOti, Masanja ambaye pia ni mchungaji na wenzie tunaowaona wakiwa wanautweza uume na kuuvaa ukike. Wanavaa mavazi ya kike, wanapaka mapambo ya kike, wanatembea...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

    Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao. Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
Back
Top Bottom