Natafuta mchumba wa kike muislamu

Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
1,503
1,472
Awe muislamu
Umri 20-30
Hajawahi kuolewa
kama ana mtoto asizidi mmoja
kabila lolote lile.
Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea.

Sifa zangu
Umri 33
Mtumishi serikalini
Sijawahi kuoa
Mengine mengi tutajuzana PM

ALIYE INTERESTED ANICHEK PM,tukimatch tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu

Angalizo: Kama haupo serious usije PM
 
Bado haujakomaa kiakili! I think upo below 25 yrs
Waliokomaa akili wanaanzisha familia zao na kuzaa watoto wao hawalei watoto wa wenzao.

Wajinga wajinga kama wewe ndio mnakuwa baba wa kambo

Baba wa mtoto atakutombea mkeo (ex wake) na utamtunzia mtoto wake
 
Nenda msikitini ongea na mashehe,ila hakikisha unaoa shombeshombe hawa waswahili watakukera tu.
 
Sawa ndama mtoto wa ng'ombe. Wamekuskia.
Kabla ya mwez wa 6 tunakula pilau, mwez wa 12 analala mbele unachukua mwingine. Bandika bandua engune haipoi
 
Tupo pamoja mzee
Ila hawa singo maza watakupigisha lokomotifu feint hutakaa usahau😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom