Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
20231128_120346.jpg

Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza.
Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake.

Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais.

Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake wenzie na wanaume wachache wenye tabia za kike. Lazima wakubali ndio demu wa Simba kwa sasa na wanapendana na kuelewana.

Kwa hiyo wanaomshambulia uku mitandaoni lazima mkubali kwanza mnarusha mawe kwenye mti wenye matunda.
Zuchu ndio mwanamke anaeweza kukohoa tu mpaka watoto wachanga wakamfatisha.

Niliona niwakumbushe tu!

Kanyaga twende Zuuu tumechelewa sana
 
Wanawake wenzie wanamuonea kijicho coz anatoka na Diamond then anakimbiza kwenye muziki. Wanaitafuta reasons kawazidi nini hawaoni alichowazidi but anawaka kama jua chuki inaanzia hapo wanaona kajaliwa visivyomstaili wanawake viumbe wa ajabu hawakupaswa kuwa wanadamu
 
View attachment 2827343

Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza.
Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake.

Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais.

Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake wenzie na wanaume wachache wenye tabia za kike. Lazima wakubali ndio demu wa Simba kwa sasa na wanapendana na kuelewana.

Kwa hiyo wanaomshambulia uku mitandaoni lazima mkubali kwanza mnarusha mawe kwenye mti wenye matunda.
Zuchu ndio mwanamke anaeweza kukohoa tu mpaka watoto wachanga wakamfatisha.

Niliona niwakumbushe tu!

Kanyaga twende Zuuu tumechelewa sana
Possibly, ivi Zay B yuko wapi?
 
Zuchu maokoto ya wasafi, Kama vipi mond afanye kweli kwa zuchu sio kumpotezea muda Kama wengine
 
View attachment 2827343

Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza.
Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake.

Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais.

Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake wenzie na wanaume wachache wenye tabia za kike. Lazima wakubali ndio demu wa Simba kwa sasa na wanapendana na kuelewana.

Kwa hiyo wanaomshambulia uku mitandaoni lazima mkubali kwanza mnarusha mawe kwenye mti wenye matunda.
Zuchu ndio mwanamke anaeweza kukohoa tu mpaka watoto wachanga wakamfatisha.

Niliona niwakumbushe tu!

Kanyaga twende Zuuu tumechelewa sana
Ajitoe wasafi ndipo tutampa hizo marks ila kwa hapa bado sana kumkuta nandy yaani bado sanaa tembea hata mitaani hoji watu uone🤣😂😂
 
Back
Top Bottom