Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake

Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.

Akhsante mtaalam kwa ukweli wako

Screenshots_2024-01-18-08-01-50.png
 
Kuna sisi ambao huwa tunakula sana chapati,maandazi na vitafunwa vingine ambayo kwa silimia 99% vimetengenezwa kwa ngano.

Na huyo mtaalamu kataja sama mgano,na haya machapati,maandazi yanatengenezwa kwayo.

Nahofia huwenda sisi wala vitafunwa hivi tukapata madhara kama wapatayo wanywa pombe.
 
Sio mtaalam wa biology ila nafahamu Mwanaume maana yake ni kuwa na uwezo wa kuzalisha mbegu zenye X na Y ambazo zinatengeneza mtoto either wa kiume au wa kike. Sasa Huo uwezo tu wa kutengeneza mbegu zinazotungisha mimba itakayoleta binti nafikiri tayari zinaashiria uwepo wa homon za kike mwilini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom