kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kijana upo chini ya miaka 30 soma hapa ili ufanikiwe kwenye maisha

    Ili kijana kujenga mafanikio yenye heshima na ambayo ayachoshi roho yako zingatia vitu hivi hapa. 1.uhusiano wa kiroho(spirtual relationship) Kijana hili ufanikiwe ni muhimu kujenga uhusiano wako na Mungu katika maisha yako. Uhusiano wako na Mungu unajengwa private na sio public, Tenga muda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu. Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mtengeneze kijana akiwa mtoto

    I
  5. JamiiForums Tanzania Kijana unaetaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, achana na single mother

    Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  8. JamiiForums Tanzania Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

    Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake. Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

    Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo. Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kijana aliyelipwa kuandamana Oktoba 29. “Tumechoka na Uchaguzi wa maigizo”

    Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha. Alipozindua Bunge la...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  12. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  13. JamiiForums Tanzania Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali kijana wa Tanzania abadilisha nywele kuwa mbolea

    Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele kabisa katika harakati za uvumbuzi wa kijani zinazochipukia. Leo, Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kijana mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
  17. JamiiForums Tanzania Mzazi wewe ndio unayekuza kijana shapu au goi goi

    My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana akamilisha tender na hajalipwa kwa miaka mitatu sasa

    Baada ya Nest kusema inawaandaa vijana kua matajiri, ajitokeza kijana ambaye alifanya kazi kwa kupitia kauli hiyo hiyo na hajalipwa mwaka wa 3 sasa. Huyu kijana TRA lazima haimwelewi, Halmashauri lazima Haimwelewi , Fire aka Zimamoto nao hawaelewi ..... ni miujiza kua Bilionea kwa njia hii...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester. Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kijana huna mamlaka ya kumkosoa na kumjibu Mzee Warioba

    Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania muda utawajibu mtapata nafasi mtakula maisha ila mtafutika na mahala penu hapatakuwepo kama mnabisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…