Mtengeneze kijana akiwa mtoto

Mtengeneze kijana akiwa mtoto

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
800
Reaction score
867
bf68a64d-a22c-4c31-be31-8e57a093835f.png
I
 
Ujumbe mzuri Sana .
Mi huwa naweza kwa mtindo wa maisha ulipo Sana watoto wangu wakisha maliza darasa la 10 ambalo nikama elimu ya msingi kwa sasa.
Wasiendelee kusoma darasa lolote Bali wajishugulishe na miradi ya kilimo na ufugaji. Haswa kilimo cha miti na ufugaji wa ngombe.
Hapo inabidi uandikie barua serikali kwanini unamkataza mtoto asisome hususani akiwa mtoto wa kike hio vita yake utasubiri
 
Wazazi wanaweza kuongoza watoto wao lakini hawana uwezo wa kupandikiza chochote kwa watoto wao.
Changamoto wazazi wengi wanahitaji kupandikiza vitu kwa watoto wakiwa vijana at 15+ ages lakini kama wangeweza kuanza tokea mtoto anamsoma baba/mama anafanya nini akiwa nyumbani, mara moja moja wanaenda na watoto wao kazini wanaona wanavyofanya kazi.

Ila ikiwa siku familia iko nyumbani baba/mama jobless au kazi haieleweki ndio inakuwa tatizo, hapo mtoto atabakia kupiga umbea na wazazi wake, mtoto na mama wataanza kuitana mashoga, shosti. Na baba ataanza kuita oyi! Niaje Big.😂😂😂😂
 
Bila kusahau maadili ya kiroho kiimani..

mlee mtoto katika njia impasayo jaye hataiacha hata atakapokuwa mzee .mfundishe kumjua Yesu toka akiwa mdogo,mfundishe kuomba kusali,kuchukuia dhambi,kuhifadhi neno la Mungu mistari ya Mungu moyoni mwake na maana yake,nguvu ya maombi kukemea adui nguvu za giza ,kumpenda Mungu kupenda hadithi mafundisho ya Mungu..ajue Mungu anampenda amemuumba anamlinda ..kumtegemea Mungu.

atakuwa na nguvu ya Mungu nguvu ya Roho mtakatifu wa Mungu na atatembea na Mungu toka akiwa mdogo.
 
mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee..
samaki mkunje angali mbichi..
 
Attachments

  • images - 2025-08-24T233010.522.jpeg
    images - 2025-08-24T233010.522.jpeg
    10.5 KB · Views: 18
  • images - 2025-08-24T232437.196.jpeg
    images - 2025-08-24T232437.196.jpeg
    17.6 KB · Views: 20
  • images - 2025-08-24T231815.856.jpeg
    images - 2025-08-24T231815.856.jpeg
    46.6 KB · Views: 20
  • images (23).jpeg
    images (23).jpeg
    11.7 KB · Views: 21
  • images (24).jpeg
    images (24).jpeg
    24.8 KB · Views: 20
  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    21.9 KB · Views: 13
  • 481955_272429746203286_1222199978_n.webp
    481955_272429746203286_1222199978_n.webp
    27.5 KB · Views: 18
  • images (19).jpeg
    images (19).jpeg
    10.1 KB · Views: 15
Bila kusahau maadili ya kiroho kiimani..

mlee mtoto katika njia impasayo jaye hataiacha hata atakapokuwa mzee .mfundishe kumjua Yesu toka akiwa mdogo,mfundishe kuomba kusali,kuchukuia dhambi,kuhifadhi neno la Mungu mistari ya Mungu moyoni mwake na maana yake,nguvu ya maombi kukemea adui nguvu za giza ,kumpenda Mungu kupenda hadithi mafundisho ya Mungu..ajue Mungu anampenda amemuumba anamlinda ..kumtegemea Mungu.

atakuwa na nguvu ya Mungu nguvu ya Roho mtakatifu wa Mungu na atatembea na Mungu toka akiwa mdogo.
Sawa, ila pia usisahau kumfundisha kuepukana na unafiki wa imani.
 
Ni mambo ya utawala wa kimamlaka. Yaani hiyo mada yako ilipaswa kuwekwa kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
Kwa tafsiri yako ni sawa, ila kwa tafsiri yangu ya maana ya siasa, basi hii inayojadiliwa hapa ni siasa pia mkuu. Utagundua ni siasa ukitulia na ukifikiria kwa umakini.
 
Back
Top Bottom