kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    CHATGPT yashtakiwa kwa kushauri kijana huyu ajiue

    Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika na kifo cha Mtoto wao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri juu ya mbinu za kujiua na kumsaidia kuandika...
  2. Fbn

    Nikionaga kijana kavaa haya maviatu

    Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
  3. Mtu_imara

    Changamkia fursa kijana

    Ajira ya ulinzi ipo Kama upo tiari njo siitaji cent yako mshahara mzuri piga 0614951696 ukiwa dsm ndo vizuri zaidi
  4. Muimba SINGELI

    Simulizi za kijana Masikini (zote ni visa vya kweli vilivyowahi kunitokea)

    Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni. Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu. Kumbuka humu...
  5. Mstahiki Mea

    Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  6. nzalendo

    Namtafuta kijana wa rafiki yangu

    Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...
  7. S

    Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

    Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni. Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
  8. McLaren

    Leo ni siku ya vijana duniani. Kama kijana ikatokea dunia yote ikakusikiliza kwa dakika ungesema kitu gani?

    Wakuu, Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35 Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament ) Kuwe na polisi tu lakini...
  9. Tanzaniavate

    Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  10. M

    Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  11. DuaZaMama

    GE2025 Tukishinda Urais kila kijana tutampa ekari 5 za shamba

    Wagombea wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, leo wamewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu ambapo ametaja vipaomEKARI tano ikiwa ni pamoja na kuwapatia vijana mashamba ya umwagiliaji...
  12. Yoda

    Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  13. mager6

    Una Mke anayewapenda wadogo zake kiasi cha kijana wa umri wa miaka 34 anaishi Kwa Dada

    Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo. Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
  14. J

    Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  15. ELI COHEN

    Hali ya Kijana wa kawaida wa Kitanzania in one picture

  16. Muimba SINGELI

    Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

    Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
  17. LiwaloNaliwe2025

    Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  18. Zemanda

    Ujumbe kwako Kijana popote ulipo

    Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako huwa anasheherekea kimya kimya kujua kapata kidume na mama yako moyo wake huyeyuka kwa faraja na...
  19. T

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  20. Marmeid

    hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
Back
Top Bottom