kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

    Habari wakuu. Hapa naongea na Vijana we zangu Wanaoitafuta miaka 40 Na wale wanao jitafuta kimaisha miaka 25+ Kama ulikuwa na wazo la kuoa wewe mchizi wangu au umemuacha mke wako/mpenzi wako Kwa sababu mbalimbali na badae unafikiria kuoa tena basi weka akilini kwako hii mchizi wangu. Kamwe...
  2. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kijana Habil na kabil Ametokomea na utapeli wake

    Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani. Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

    Badala ya kuwatafutia kazi US hata za kulea wazee yeye anawatafutia vurugu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Awamu hii kijana ukishikwa hakuna tena msamaha. Milango ya rehema ishafungwa. Ukibahatika kupona utazeekea Jela

    Huu ndio uwadilishaji wangu wa mada. It's like dhihaka au jazba ila nawatonya tu kuwa mkiandamana na mkabahatika kushikwa salama hakuna tena msamaha. Kesi yenu itachukua muda mfupi sana mithiri ya bao la jogoo then mtavalishwa nguo za orange mkalime mashamba ya jela.
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana wa miaka 14 ajinyonga baada ya kulawitiwa na waliomchukua Oktoba29

    Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana huyo alipatikana tarehe 4 akiwa ameumizwa vibaya, mwili ukiwa na makovu na kuvimba. Hali yake iliwatia...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unaposema kijana ni taifa la kesho, kwa hiyo kesho ndio afikie uzee wako

    Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha. Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho. Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana aliyepewa dola milion mbili kuvuruga taifa ni nani?

    Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini. Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  12. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kijana mzelendo anaelezea kuhusu CCM mtandao

    Je hili kundi ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa?
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

    Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa. Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
  14. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Kijana: Truth and Justice should be a roadmap to Reconciliation.

  15. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  16. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa US aliyekaa Tanzania anaelezea rushwa ya Tanzania

    Kwa wale mtakao muelewa https://youtu.be/nmHhRISi7nA?si=zet3X4o3liW_3HHo
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana usikubali huu UPUUZI chapati isikutoe kwenye reli huyu ametumwa

    Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo wengi wametumwa kuna yule na wimbo wake wa nani potezeeni.
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiyaendekeza kama kijana kutoboa ni ngumu

    KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU. Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1. Kuendekeza mambo ya dini. Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni kugusa tuu. 2. Kuendekeza Siasa. Mara moja moja sio mbaya kama kuna ishu muhimu lakini sio kila...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

    JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni...
Back
Top Bottom