kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye majimbo Mwambao wa Ziwa Tanganyika, wafanya ziara Bandarini Karema kukagua ujenzi wa meli nne za Mizigo

    Dkt Boniface Nobeji, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA. David Kihenzile, Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi MABORESHO na ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imevutia wawekezaji katika Bandari ya Karema iliyopo...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hawa kama sio vijana wa shinyanga basi ni kigoma

    Unakuta kijiji kizima kina mtindo mmoja wa nguo haswa siku za sikukuu ndio utajionea maajabu
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Jeshi la Polisi lawakamata Wakimbizi 25 na kuwafikisha Mahakamani kwa tuhuma za kufanya vurugu

    Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo Kama hukusoma kuhusu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kigoma Tumesahaulika? Mwananchi alia kukosa msaada wa Serikali kwa Wahanga

    Nashindwa kuelewa Kigoma tuna bahati mbaya gani kwa sababu Tanzania nzima serikali imewasaidia wahanga wote lakini Kigoma hatujasaidiwa, tunaomba tu Serikali itusaidie na sisi" - Mwananchi.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi watu wengi tulidhani Mikka Mwamba ni jamaa fulani jeusi la Kigoma kumbe jamaa ni chapa ya Trump kabisa

    Wakongwe tulimjua tangu awali ila hadi sasa watu wengi ukiwaambia kwamba mwamba ni mzungu wana bisha kabisa
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60

    Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60 ambao umefikia asilimia 98. Mradi huu utakapokamilika utawezesha kubeba shehena ya mafuta kiasi cha lita 410,000.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Kigoma kwa tuhuma za mauaji ya Martin Runaku Mpemba aleyekuwa Diwani wa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ni Kubwa sana kama hutafutwi na Jeshi la Polisi na wewe ni mtu Mwema. Lakini kama ukiingia kwenye 18 za jeshi la polisi kwa vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa sheria pamoja na kufanya jinai . Huwezi ukaukimbia Mkono wa Serikali. Hakuna mahali utakimbilia na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awagusa watoto wenye mahitaji maalum kwa msaada wa vyakula Kigoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo

    Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DAS Mtewele awataka wananchi wa Kasulu kuvitunza vyanzo vya maji

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Theresia Mtewele, amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutunza mazingira ya vyanzo vya Maji ili kuendelea kupata Maji safi na salama. Mtewele amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa kinara wa kuhakikisha miradi mbalimbali ya Maji inatekelezwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Zaidi ya 30 wa Kikundi cha Urithi Wetu waanza safari kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kuhamasisha upandaji miti

    Vijana zaidi ya 30 wa kikundi cha Urithi Wetu PTP2 wameanza safari ya kipekee kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti na kudumisha urithi wa kipekee wa Tanzania. Wakiwa chini ya uongozi wa Mwalimu Philip John Ally, Mkurugenzi wa shirika la kijamii APHI...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetoa trilioni moja kutekeleza mradi wa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora - Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi

    Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000

    KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha matumizi ya nishati safi na utunzaji mazingira Makundi hayo yatanufaika na ruzuku ya 80% ya majiko...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo. Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana wa Kigoma achora tattoo ya sura ya Waziri Mkuu, Majaliwa kifuani mwake

    Wakuu Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa == Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa? Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua...
  18. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB yapokea Malalamiko ya uvunjwaji wa haki na ukiukwaji ya misingi ya utawala bora Kigoma

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
  19. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
Back
Top Bottom