kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali iikumbuke mikoa ya pembezoni hasa Kigoma. Hali ya barabara na umeme siyo nzuri

    Nasema hivo kwa sababu barabara ya kuanzia Nyakanzi, Kakonko, Kibondo, Kasulu inajengwa na imeikamilika baadhi ya maeneo ila eneo la Kibondo mpaka Kasulu bado mkandarasi naona uwezo wake mdogo. Kwa upande wa umeme tunashukuru Makamu wa Rais kumsisitiza sana Waziri Makamba kulivalia njuga suala...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Clinical Operations Officer at Africa Healthcare Network (AHN)

    Clinical Operations Officer (Quality) Job Summary Africa Healthcare Network (AHN) is building the first dialysis chain across East Africa, providing high-quality, life-saving dialysis at an affordable cost to both the local patient population and patients from neighbouring countries, which do...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kasulu, Kigoma: Wajawazito wapanda kwa zamu kitandani kujifungua, wengine walazwa chini

    Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja. Chanzo: Nipashe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kufanya ziara mikoani

    Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

    Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa madai ya kuhoji sababu za wanafunzi kupewa chanjo dhidi ya corona bila kupewa taarifa. Hata hivyo...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

    Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo. Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo...
  10. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Fainali ya ASFC Kigoma mgeni rasmi angekuwa Rais wa nchi

    Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi. Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
  11. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania SoC01 Historia ya Mzee Kamachi inatupa funzo

    Nianzie mkoani Kigoma Mzee Kamachi ni Muha mzaliwa wa Kigoma Mjini Gungu Kamachi alizaliwa miaka ya 1960 mkoani kigoma alikuwa mtoto wa kwanza kwenye familia ya Saidy Kumachi Mzee Saidy alimzaa Kumachi baada ya kumpa mimba mama yake Kumachi wakati huo akiwa bado mwanafunzi jambo lililopelekea...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  13. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  14. BRN

    JamiiForums Tanzania Kutembea kwa miguu au baiskeli kwenda Kigoma

    Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga. Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba sasa ni zamu yenu na nyie kurevenge.?!
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  16. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Ajira wilaya ya Kibondo, Kigoma

  17. C

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo drone zilizomfukuzisha Lugola na Andengenye? Basi waombwe msamaha

    Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo ile au magorofa marefu yatawaka moto huu mji utaungua wote maana shughuli ya juzi kariakoo...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania RC Kigoma: Mkoa una wagonjwa 12 wa Wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID-19

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani. ==== Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga...
  19. BASIASI

    JamiiForums Tanzania TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

    Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee Kauli mbiu-kigoma Fainiiii ijeeeeee Kipigooooooo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunamuhitaji Mkude huko Kigoma

    Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma. Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya...
Back
Top Bottom