kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mawakili msipojitathimini taaluma yenu inakwenda kufa kifo cha kisiasa

    Duniani wanaitwa wasomi, Afrika wanaitwa wasomi ila Tanzania nachelea kuwaita wasomi. Endapo Mawakili mtashindwa kuungana nakupigania Uhuru wenu basi kitambo kidogo mtapigania kutoka gereza la fikra. Mkwamo wenu ni mkwamo wa jamii, nimkwamo wa Taifa. Natambua mna familia ila nawakumbusha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Katika kitabu chake cha "My life, My Purpose" Marehemu Mzee Mkapa alikiri kuzushiwa kifo akiwa madarakani

    Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo. Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui...
  4. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Kifo cha Rais wa Malawi wahaini sita usiku wa manane" The Midnight Six" na Njama za kutaka kumpora Urithi wa Urais Joyce Banda

    Habari za leo ndugu wasomaji wa JamiiForums. Kisa hiki cha Rais wa Malawi Pres Bingu wa Mutharika na Makau wake Joyce Banda chaweza kuwa na funzo namna taasisi za nchini humo zilivyokuwa na maadili kwa maslahi ya wana Malawi. Twende pamoja. Ni usiku wa kuamkia tare 5 aprili 2012, Rais Bingu...
  5. JamiiForums Tanzania John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  6. JamiiForums Tanzania Kuishinda hofu ya kifo

    Licha ya ukweli kuwa hakuna mtu aliyewahi kuona mtu aliyekufa kifo kimeendelea kupewa sifa kubwa kuliko ukweli wenyewe ulivyo. Kiuhalisia tunachokiona ni mwili wa mtu lakini siyo mtu. Tunalinganisha mwili wa mtu na mtu mwenyewe na kulingana na mazoea tunaamini mtu amekufa jambo ambalo siyo...
  7. JamiiForums Tanzania Misri yatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 11 baada ya kukutwa na hatia ya mauaji

    Mamlaka nchini Misri zimetekeleza adhabu ya kifo watu 11 siku ya Jumanne baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji, chanzo kimoja ndani ya vyombo vya usalama vya Misri kimeiambia Shirika la Habari la AFP kwa sharti la kutotajwa jina. Adhabu hiyo ya kifo imetekelezwa katika gereza la Borg al-Arab...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mh Anna Mghwira amesema kifo cha bwana Arthur Shoo aliyekuwa Katibu mkuu wa KKKT dayosisi ya kaskazini ni ushahidi kuwa Corona imerudi tena. RC Mghwira ambaye ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa katika ibada ya mazishi ya Shoo amesema kamati yake...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

    Shetani kazi yake ni kuharibu, kuua na kuiba, ndivyo Biblia inavyosema. Kwa hiyo kila mahali utakapo shuhudia uharibifu, vifo na wizi, ni lazima mkono wa Shetani upo. Si ajabu kwa hiyo kwamba Shetani hufurahia matukio hayo na hufanya kila mbinu chafu ili watu waibiwe, wafe na kuwe na uharibifu...
  10. JamiiForums Tanzania Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

    Prince Philip ndiye mwana familia ya kifalme mwenye umri mkubwa zaidi. Akiwa na miaka 99 anategemea kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa mwezi Juni mwaka huu. Hali ya afya yake imekuwa tete na familia imeanza kujiandaa kupokea habari zozote. ====== The Queen's husband Prince Philip, 99, has had...
  11. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo . Chanzo : MwanaHalisi TV
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
  13. JamiiForums Tanzania Bora kifo cha wengi kuliko chetu peke yetu

    Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote. Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories). Hali hii imechajishwa sana na ushindani wa Marekani na China juu ya kuwa Mwenye Nguvu wa dunia(Global Power)...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

    Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu. Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Jaji Rweyemamu ni funzo la kuishi wa uadilifu

    Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu. Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu. Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kifo ndiyo muuaji mkubwa wa uhai

  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma. Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo. Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema. Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

    RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

    “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17). Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4). Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…