kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Watu kama Ole Sabaya inabidi Kesi zao Mahakama iwe "LIVE"

    Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa! Ili Serikali ionekane haikuwatuma,kuwepo na mahakama huru na ya wazi. Kama ambavyo serikali ya Marekani ilijivua kidunia kuwa...
  2. Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  3. D

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  4. S

    Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu, Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya...
  5. Waliohusika kifo cha mama mzazi wa Hoyce Temu Hospitali ya KCMC waondolewe

    HUU MSIBA UMEHUZUNISHA WENGI SANA MKOANI MOSHI NA PENGINE WENGI WANAKUFA HAPO HOSPT BILA KUPEWA MSAADA WAZIRI WA AFYA WALIOCHANGIA KIFO CHA HUYU MAMA WAONDOLEWE KABISA HAPO HOSPT WATATUMALIZIA WAZAZI WETU MAPOKEZI MASAA MAWILI BILA HUDUMA??KWELI AISEE ===== MAMA MGHWIRA-KULIKUWA NA UZEMBE...
  6. Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada. Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi. Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi...
  7. A

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
  8. TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  9. Familia ya Obama yatangaza kufiwa na Mbwa wao aliyejulikana kwa jina la Bo

    Rais mstaafu wa marekani ndugu Barack Obama, amefiwa na mbwa wake bo. Akitoa tangazo hilo leo moja kwa mona kupitia cnn. Obama ameonesha pamoja na familia hiyo kusikitishwa na kifo cha mbwa huyo aliyekufa na kansa. ====== (CNN) The Obamas announced Saturday that their beloved family dog Bo...
  10. Kosa la kuchepuka enzi hizo hukumu yake ilikua ni kifo

    May 10, 1775: Princess Caroline Matilda of Great Britain, Queen of Denmark and Norway, died of scarlet fever while in exile in Celle, Germany, aged only twenty-three years old. She had been disgraced, sent from court, and divorced due to her extramarital affair with Dr. Johann Friedrich...
  11. B

    Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
  12. Chad: Jeshi latangaza Serikali ya mpito baada ya kifo cha Rais Idriss Deby

    Utawala wa Kijeshi Nchini Chad umetangaza Serikali moya ya Mpito ambapo idadi kubwa ya Mawaziri walikuwa madarakani katika utawala wa Rais Idriss Deby aliyefariki dunia mwezi Aprili. Wapinzani wametoa wito wa kuwepo Serikali ya Mpito inayoongozwa na Rais aliye Raia wa kawaida huki Makamu wa...
  13. Malawi kuondoa hukumu ya kifo

    Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba. Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu, Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za...
  14. Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  15. M

    Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  16. Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  17. Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
  18. SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

    Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania. Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
  19. T

    CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma, Raia Mwema imefahamishwa. Taarifa za ndani kutoka familia yake, zimethibitisha kuwapo vitisho dhidi...
  20. J

    Rais Samia amtumia salamu za rambirambi Malkia Elizabeth II kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip!

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…