kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc: johnthebaptist
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mende

  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

    Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kifo, maisha ni milele

    Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
  7. JamiiForums Tanzania KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  8. JamiiForums Tanzania Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
  9. JamiiForums Tanzania Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

    Habari, Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa. Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
  11. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 ndani ya siku moja

    Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya kigaidi ya kigeni" na kuwa na "imani potovu", Shirika la Habari la Serikali la Saudi Press Agency...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  13. JamiiForums Tanzania IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake Quraishi na kumtaja mrithi wake

    Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla. Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

    Wakuu habari za mida hii. Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili. Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
  16. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha Sheikh Abdallah Rashid Sembe May 1999

    TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999 Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa linaikabili TANU katika Uchaguzi wa Kura Tatu. Kisa chote kile cha dua hii ya Mnyanjani kuanzia Mwalimu...
  18. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa kifo cha Katibu wa Kanisa wafikishwa Mahakamani, ni Katekista na mwenzake

    Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi wakana tuhuma za kuhusika kifo cha Jacob Elias

    Wakati mwili wa Jacob Elias (44) mkazi wa Milanzi Manispaa ya Tabora anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kipigo alichokipata akiwa mahabusu ukizikwa jana Februari 16, 2022, Jeshi la Polisi limekana kuhusika na kifo hicho. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amekana kuhusika kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…