kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

    Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hekaheka

    Siku za hivi karibuni katika kijiji cha Kizito mtaa wa Hakibebeki kulitokea jambo la ajabu sana ambapo kijana mmoja aitwae Kifo alisababisha kustopisha shughuli za watu wote na majirani wakaribu wa kijiji cha Kizito mtaa wa Hakibebeki. Hii imetokea baada ya tajiri mmoja aitwae Nduli kumtuma...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nimelizwa, nimeumizwa na kufadhaishwa mno na kifo cha kijana huyu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kabla ya yote, ningependa niweke wazi kuhusu jinsi nilivyofahamiana na huyu kijana kupitia uncle wake ambae niliwahi kufanya nae kazi katika kampuni fulan, miaka kadhaa iliyopita. Kijana...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Utu wake wamuokoa katika kifo

    Nimuite Etugrul Bey sio Jina halisi, alikuwa ni boss ambaye alikuwa ana jali Sana utu WA watu, kwake yeye kila binadamu alikuwa na thamani Sawa maadamu tu ni binadamu ni tofauti na watu wengine ambao huwathamini watu kutokana na kitu walinacho,au hadhi waliyo nayo au elimu waliyo nayo. Tabia...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Canada: Binti (Mkenya) afa Maji akiogelea huku akijirekodi LIVE kupitia Facebook

    Msichana Afa Maji Akiogelea Kwenye Swimming Pool Huku Akijirekodi Live Kwenye Facebook Hellen Wendy raia wa Kenya na nesi kwa taaluma aliyekua akiishi nchini Canada amefariki dunia jana kwenye swimming pool akiogolea uku akiwa live kupitia ukurasa wake wa Facebook. Taarifa za awali zimedai...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

    Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo. Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

    Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu. Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitaala ya Elimu na Rasilimali za Taifa

    Michael nguma 0693110405 Inakuaje taifa kubwa kuwa na wasomi wengi wasio na maarifa katika rasilimali za taifa hilo? Inakuaje taifa lenye mifumo ya elimu kuanzia ngazi za chini mpaka chuo kikuu linakuwa na wasomi wasio na maarifa ya kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao na kwa manufaa ya...
  12. hamisi ndingo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

    Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao. Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika. Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu. Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

    Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
  17. M

    JamiiForums Tanzania Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

    Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
  18. Gama

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  19. Powerman

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema? Toa uzoefu wako hapo chini.
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

    Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa. Ntaanza na hizi chache... 1.Biashara ya...
Back
Top Bottom