Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,556
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
 
Nangojea kwa hamu sana kusoma Maoni yenu ya Kitaalamu Enyi Wajuvi wa JamiiForums kwani nimedokezwa tendo la Mwanadamu kujisaidia haja kubwa ( Wazaramo wanasema Kuukweka ) pale tu akikata Roho ( Akifa ) ni la Kisayansi zaidi hivyo nitafurahi Nikielimishwa juu ya hili.
Fanya Experiment ya kumziba pua mbwa au paka Moja Kwa moja utaona akitoa haja.Jamaa Fulani alifumania wahuni wakamziba pua mpaka akajisaidia wakamuachia.Akazinduka baada ya nusu saa
 
Nangojea kwa hamu sana kusoma Maoni yenu ya Kitaalamu Enyi Wajuvi wa JamiiForums kwani nimedokezwa tendo la Mwanadamu kujisaidia haja kubwa ( Wazaramo wanasema Kuukweka ) pale tu akikata Roho ( Akifa ) ni la Kisayansi zaidi hivyo nitafurahi Nikielimishwa juu ya hili.
Hii hoja ungeiweka kule siasa.

Najua umeelewa nilichokielewa.

Kuna mtu kajisaidia huko na kashajiua kisiasa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom