Freemason walivyotoa pole kwa kifo cha Malkia

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,693
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa.

Wachunguzi wa dini ya Freemason wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za waumini wa Freemasons.

Baada ya kifo cha Malkia Elizabeth, Freemason pale Uingereza walitoa tamko lifuatalo nitaliweka kwa lugha ya English na kutafsiri kwa nilivyojaaliwa.

Wanasema,

Cumbria Freemasons shared with us a statement from the United Grand Lodge of England. The statement read:

"It was with the greatest sadness that the United Grand Lodge of England learned of the death of Her Majesty Queen Elizabeth II, our longest serving British Sovereign.

"Queen Elizabeth’s father, His late Majesty King George VI and her consort, HRH The Duke of Edinburgh, were both Freemasons. Her cousin, HRH The Duke of Kent, has been Grand Master of the United Grand Lodge of England since 1967, and will be sending a message of condolence on behalf of all English Freemasons to His Majesty The King.

"Another of her cousins, HRH Prince Michael of Kent, has been Grand Master of the Grand Lodge of Mark Master Masons of England and Wales since 1982, and an announcement is being made from Mark Masons’ Hall.

"God Save The King."

Kwa tafsiri ya Kiswahili wanasema

Ilikuwa ni kwa huzuni kubwa kwamba United Grand Lodge ya Uingereza ilipopata habari kuhusu kifo cha Mtukufu Malkia Elizabeth II, Mfalme wetu wa Uingereza aliyetumikia kwa muda mrefu zaidi.

"Baba yake Malkia Elizabeth, Marehemu Mfalme George VI na mke wake, HRH The Duke wa Edinburgh, wote walikuwa Freemasons. Binamu yake, HRH The Duke of Kent, amekuwa Grand Master wa United Grand Lodge ya Uingereza tangu 1967, na kutuma ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Freemasons wote wa Kiingereza kwa Mtukufu Mfalme.

"Mwingine wa binamu zake, HRH Prince Michael wa Kent, amekuwa Grand Master wa Grand Lodge ya Mark Master Masons wa Uingereza na Wales tangu 1982, na tangazo linafanywa kutoka kwa Mark Masons' Hall.

"Mungu Mwokoe Mfalme."

NOTE: Freemason wakisema "Mungu" sio "Mungu" unayemjua wewe wa mbinguni, ndiyo maana hata manabii wa uongo wanamtaja Yesu, lakini siyo Yesu yule Mnazareth,

Leo naishia hapa.
 
Niliwahi kueleza Kuhusu familia 13 za Siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo Familia ya malkia , wengi huwa wanabeza wakidai Ni consiparacy theory TU, but haya Mambo Ni real sio bla blaa

wachunguzi wa dini ya freemasons wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za waumini wa Freemasons.

Baada ya kifo Cha Malkia Elizabeth , Freemason pale Uingereza walitoa tamko lifuatalo nitaliweka kwa lugha ya English na kutafsiri kwa nilivyojaariwa

Wanasema

Cumbria Freemasons shared with us a statement from the United Grand Lodge of England. The statement read:

"It was with the greatest sadness that the United Grand Lodge of England learned of the death of Her Majesty Queen Elizabeth II, our longest serving British Sovereign.

"Queen Elizabeth’s father, His late Majesty King George VI and her consort, HRH The Duke of Edinburgh, were both Freemasons. Her cousin, HRH The Duke of Kent, has been Grand Master of the United Grand Lodge of England since 1967, and will be sending a message of condolence on behalf of all English Freemasons to His Majesty The King.

"Another of her cousins, HRH Prince Michael of Kent, has been Grand Master of the Grand Lodge of Mark Master Masons of England and Wales since 1982, and an announcement is being made from Mark Masons’ Hall.

"God Save The King."

Kwa tafsiri ya kiswahili wanasema

Ilikuwa ni kwa huzuni kubwa kwamba United Grand Lodge ya Uingereza ilipopata habari kuhusu kifo cha Mtukufu Malkia Elizabeth II, Mfalme wetu wa Uingereza aliyetumikia kwa muda mrefu zaidi.

"Baba yake Malkia Elizabeth, Marehemu Mfalme George VI na mke wake, HRH The Duke wa Edinburgh, wote walikuwa Freemasons. Binamu yake, HRH The Duke of Kent, amekuwa Grand Master wa United Grand Lodge ya Uingereza tangu 1967, na kutuma ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Freemasons wote wa Kiingereza kwa Mtukufu Mfalme.

"Mwingine wa binamu zake, HRH Prince Michael wa Kent, amekuwa Grand Master wa Grand Lodge ya Mark Master Masons wa Uingereza na Wales tangu 1982, na tangazo linafanywa kutoka kwa Mark Masons' Hall.

"Mungu Mwokoe Mfalme."

NOTE: Freemason wakisema "Mungu" sio "Mungu" unayemjua wewe wa mbinguni, ndio maana hata manabii wa uongo wanamta Yesu ,lakini sio Yesu yule mnazareth,

LEO NAISHIA HAPA
Pamoja na kuwa sifuatilii kivile ishu za freemasons, ila hii meseji ipo kimchongo sana. Yaani haieleweki ni salamu za pole au ni utambulisho wa freemasons kwenye familia ya Malkia.
 
Hapo ndo nawashangaa wabongo anakwambia Freemasons ni kikundi cha Siri sanaaa hapo hapo anakwambia Siri zao, unabaki kucheka tu, yaani kama mipango ya TISS unashindwa kuzijua leo ndiyo ujue mipango ya Freemasons?
Na hapo hapo Freemasons ambao ni kikundi cha siri, na wanachama wa siri, wanatoa tena tamko kutambulisha mwanachama wao anayetakiwa kuwa wa siri. Bongo ina majuha wengi sana. Kuna kipindi hili suala la Freemansons lilikuwa limeshika kasi hata mtu akikohoa utasikia wanasema ni mwenyewe. Mtapeli wamekula fedha nyingi kweli kweli za wajinga wakiwaaminisha watafanya wawe kwenye huu ushirika ili watajirike.
 
Umesema DINI ya freemason, sidhani kama kuna dini ya freemasons mkuu.

Na mambo ya freemasons na illuminat ambayo wabongo tunayajua kuliko wao wenyewe ingia Wikipedia tu wameeleza kila kitu ni viko wazi wala sio SIRI
 
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa.

Wachunguzi wa dini ya Freemason wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za waumini wa Freemasons.

Baada ya kifo cha Malkia Elizabeth, Freemason pale Uingereza walitoa tamko lifuatalo nitaliweka kwa lugha ya English na kutafsiri kwa nilivyojaaliwa.

Wanasema,

Cumbria Freemasons shared with us a statement from the United Grand Lodge of England. The statement read:

"It was with the greatest sadness that the United Grand Lodge of England learned of the death of Her Majesty Queen Elizabeth II, our longest serving British Sovereign.

"Queen Elizabeth’s father, His late Majesty King George VI and her consort, HRH The Duke of Edinburgh, were both Freemasons. Her cousin, HRH The Duke of Kent, has been Grand Master of the United Grand Lodge of England since 1967, and will be sending a message of condolence on behalf of all English Freemasons to His Majesty The King.

"Another of her cousins, HRH Prince Michael of Kent, has been Grand Master of the Grand Lodge of Mark Master Masons of England and Wales since 1982, and an announcement is being made from Mark Masons’ Hall.

"God Save The King."

Kwa tafsiri ya Kiswahili wanasema

Ilikuwa ni kwa huzuni kubwa kwamba United Grand Lodge ya Uingereza ilipopata habari kuhusu kifo cha Mtukufu Malkia Elizabeth II, Mfalme wetu wa Uingereza aliyetumikia kwa muda mrefu zaidi.

"Baba yake Malkia Elizabeth, Marehemu Mfalme George VI na mke wake, HRH The Duke wa Edinburgh, wote walikuwa Freemasons. Binamu yake, HRH The Duke of Kent, amekuwa Grand Master wa United Grand Lodge ya Uingereza tangu 1967, na kutuma ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Freemasons wote wa Kiingereza kwa Mtukufu Mfalme.

"Mwingine wa binamu zake, HRH Prince Michael wa Kent, amekuwa Grand Master wa Grand Lodge ya Mark Master Masons wa Uingereza na Wales tangu 1982, na tangazo linafanywa kutoka kwa Mark Masons' Hall.

"Mungu Mwokoe Mfalme."

NOTE: Freemason wakisema "Mungu" sio "Mungu" unayemjua wewe wa mbinguni, ndiyo maana hata manabii wa uongo wanamtaja Yesu, lakini siyo Yesu yule Mnazareth,

Leo naishia hapa.
Ujuzi wa dini ambayo wewe unajifanya unaielewa kuliko wao waliokuletea uliupata wapi? Let world and its matter went on!
Huwa nashangaaga kweli KITU wametuletea wao eti sisi ndio Leo hii tunajua kuliko wao!!!
 
Hiyo ni Imani kama zilivyo nyingine
 
Siku hizi upeo wa mtanzania wenye ubongo kama wa kuku wakiona kitu ambacho majibu yake kwa akili yake ndogo hana au hawezi kutoa tasfisri yakee huita freemarson

Ndio maana matapeli wamechukua hilo kama fursa, wamebadika mabango nchi nzima eti Kujiunga na chama kubwa Freemarson, na watu wanapigwa KWERI KWERI au nasema uongo ndugu zangu?
 
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa.

Wachunguzi wa dini ya Freemason wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za waumini wa Freemasons.

Baada ya kifo cha Malkia Elizabeth, Freemason pale Uingereza walitoa tamko lifuatalo nitaliweka kwa lugha ya English na kutafsiri kwa nilivyojaaliwa.

Wanasema,

Cumbria Freemasons shared with us a statement from the United Grand Lodge of England. The statement read:

"It was with the greatest sadness that the United Grand Lodge of England learned of the death of Her Majesty Queen Elizabeth II, our longest serving British Sovereign.

"Queen Elizabeth’s father, His late Majesty King George VI and her consort, HRH The Duke of Edinburgh, were both Freemasons. Her cousin, HRH The Duke of Kent, has been Grand Master of the United Grand Lodge of England since 1967, and will be sending a message of condolence on behalf of all English Freemasons to His Majesty The King.

"Another of her cousins, HRH Prince Michael of Kent, has been Grand Master of the Grand Lodge of Mark Master Masons of England and Wales since 1982, and an announcement is being made from Mark Masons’ Hall.

"God Save The King."

Kwa tafsiri ya Kiswahili wanasema

Ilikuwa ni kwa huzuni kubwa kwamba United Grand Lodge ya Uingereza ilipopata habari kuhusu kifo cha Mtukufu Malkia Elizabeth II, Mfalme wetu wa Uingereza aliyetumikia kwa muda mrefu zaidi.

"Baba yake Malkia Elizabeth, Marehemu Mfalme George VI na mke wake, HRH The Duke wa Edinburgh, wote walikuwa Freemasons. Binamu yake, HRH The Duke of Kent, amekuwa Grand Master wa United Grand Lodge ya Uingereza tangu 1967, na kutuma ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Freemasons wote wa Kiingereza kwa Mtukufu Mfalme.

"Mwingine wa binamu zake, HRH Prince Michael wa Kent, amekuwa Grand Master wa Grand Lodge ya Mark Master Masons wa Uingereza na Wales tangu 1982, na tangazo linafanywa kutoka kwa Mark Masons' Hall.

"Mungu Mwokoe Mfalme."

NOTE: Freemason wakisema "Mungu" sio "Mungu" unayemjua wewe wa mbinguni, ndiyo maana hata manabii wa uongo wanamtaja Yesu, lakini siyo Yesu yule Mnazareth,

Leo naishia hapa.
Corrections kidogo "Duke" for male royal member and "Duchess" for female royal member.
 
Weka na kapichaa walauu tuone aliyetoa hiyo salaam
 
Back
Top Bottom