kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

    Wanaukumbi. BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS Kuna muundo wa uongozi uliowekwa ========================= https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  7. JamiiForums Tanzania Mme wako akifa Utaweza kuimudu familia?

    Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile? Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa? Kama jibu Ni hapana umejipanga...
  8. JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunguru akifa haozi

    Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu. Badhi ya watu huwa wanasema haozi kwa sababu hali chumvi japo sina hakika katika hili maana mara kibao amekula vyakula vyenye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yanga ipo group la kifo CAFCL, no winners no losers in that group

    I will short Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL. They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as draw came out. Yanga was nicked out with teams with almost the same level of financial power. The...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wa Iran walazimishwa na Serikali kuomboleza kifo cha hassan nasrallah kiongozi mkuu wa magaidi wa Hezbollah aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1 Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1 Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
  12. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukifa leo wanaokutegemea bado wataishi tu, jijali acha kujali wengine!

    Kumekuwa na tabia za watu kujiona wanategemewa sana. Watu hawa hawafanyi maendeleo yeyote wala kujijali wao kila siku ni kutunza wenzao na kubaiki meza kwa kujaza bia, wanapaswa kujua, hata wakifa leo hao wategemezi wataishi. Mtu anakwambai mtoto wa mama mdogo, shangazi, babu, sijui rafiki...
  15. JamiiForums Tanzania Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

    Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili” Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea. Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani wapongeza kifo cha Hassan Nasrallah huku moto wa makombora ya Hizbullah na Houth ukiunguza Jerusalem na Tel Aviv

    Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi. Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!. Mwenye jibu anisaidie.
  18. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  19. JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo, tofauti ni umekufaje.

    Kifo ni kifo na kila mtu atakufa na ukifa hufi tena ila kwa yule ambae bado. Hata hivyo tofauti ipo kwenye umekufaje, umefia wapi na ulizikwaje. Kazi yetu wote ni kupambana ili watu wafe kwa namna tutayoikubali na sababu tunazozikubali kijamii, kisayansi, na kidini.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Kifo ni Kifoo ( Tafakari ya kauli ya kifo ni kifo)

    Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana. Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake. Lakini hicho hakina kelele kama cha Mzee wetu. Sasa tutafakari mazingira ya hayo matukio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…