kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wako akifa Utaweza kuimudu familia?

    Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile? Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa? Kama jibu Ni hapana umejipanga...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunguru akifa haozi

    Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu. Badhi ya watu huwa wanasema haozi kwa sababu hali chumvi japo sina hakika katika hili maana mara kibao amekula vyakula vyenye...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Yanga ipo group la kifo CAFCL, no winners no losers in that group

    I will short Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL. They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as draw came out. Yanga was nicked out with teams with almost the same level of financial power. The...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wa Iran walazimishwa na Serikali kuomboleza kifo cha hassan nasrallah kiongozi mkuu wa magaidi wa Hezbollah aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1 Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1 Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ukifa leo wanaokutegemea bado wataishi tu, jijali acha kujali wengine!

    Kumekuwa na tabia za watu kujiona wanategemewa sana. Watu hawa hawafanyi maendeleo yeyote wala kujijali wao kila siku ni kutunza wenzao na kubaiki meza kwa kujaza bia, wanapaswa kujua, hata wakifa leo hao wategemezi wataishi. Mtu anakwambai mtoto wa mama mdogo, shangazi, babu, sijui rafiki...
  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

    Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili” Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea. Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani wapongeza kifo cha Hassan Nasrallah huku moto wa makombora ya Hizbullah na Houth ukiunguza Jerusalem na Tel Aviv

    Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi. Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!. Mwenye jibu anisaidie.
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo, tofauti ni umekufaje.

    Kifo ni kifo na kila mtu atakufa na ukifa hufi tena ila kwa yule ambae bado. Hata hivyo tofauti ipo kwenye umekufaje, umefia wapi na ulizikwaje. Kazi yetu wote ni kupambana ili watu wafe kwa namna tutayoikubali na sababu tunazozikubali kijamii, kisayansi, na kidini.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Kifo ni Kifoo ( Tafakari ya kauli ya kifo ni kifo)

    Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana. Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake. Lakini hicho hakina kelele kama cha Mzee wetu. Sasa tutafakari mazingira ya hayo matukio na...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kifo kipo mkononi kwa sasa nini ufanye kupunguza uwezekano wa kufa

    Kwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia. 1. Achana kabisa na wake au waume za watu.hata wanawake wamekuwa wakatili so mpenzi wa mtu achana naye kabisa.dhambi huwa inatabia ya kukuelemea utasema unafanya siri kakini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

    "Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
Back
Top Bottom