kifedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makampuni nataasisi ya kifedha hizi sms za mikopo za kaz ipi

    Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  4. JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la huduma za kifedha

    Utandawazi wa huduma za kifedha umekuwa na athari kubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Hata hivyo, pamoja na faida zake, utandawazi huu pia umesababisha changamoto kadhaa katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za kuboresha...
  6. JamiiForums Tanzania Deranged woman, is a no go zone

    Wanaume, Sikilizeni alichozungumza. Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani. Be a Man, respect yourself.
  7. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kifedha: Jenga vyanzo mbalimbali vya mapato

    Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye. Kuna njia mbalimbali za kupata mapato mengine, kama vile kuanzisha biashara yako, kuwekeza katika miradi...
  8. JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Tuliandika, tunaandika na tutaandika tena na tena lakini ni kama mamlaka zimetiwa upofu machoni na kuweka nta masikioni.. Ni wazi kuna mfaidikaji/wafaidikaji bila kujali madhara makubwa ya baadae Nilikaa kwenye hii biashara kwa mwaka mzima... Haya ndio niliyaona Ni biashara ya faida kubwa Ni...
  9. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu masikini kifedha

    Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza. Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu vya Umma Tanzania viko hoi kifedha, skuli, ndaki, Idara hata Karatasi shida

    Habari! Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania 40% Watanzania hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha

    Wizara ya Fedha na Mipango imesema asilimia 40 ya Watanzania bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Novemba 15, 2022 na Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya fedha, Charles Mwamaja wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu wiki ya fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhuru wa kifedha. Hatua ianze sasa

    Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida. Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TAMNOA: Punguzo la tozo larejesha ukuaji wa matumizi ya huduma za kifedha kwa njia ya simu

    Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza mwaka 2021 mwezi Julai, na kwa kuangalia mlolongo wa matukio tangu kuanzishwa kwa tozo hizi, pamoja na kupungua kwa matumizi ya huduma za kifedha, hali ya mwaka huu wa fedha ni...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

    Rais Magufuli alirithi nchi yenye mzunguko wa pesa imara na Ukuaji ulioimarika toka kwa Jakaya Kikwete, Uchumi wa Jakaya Kikwete wa kuajiri maelfu ya watu kila mwaka, na kulipa malimbikizo, Kuongeza mishahara, Kulipa wastaafu kwa wakati, Biashara na wawekezaji kushamiri. Ilituchukua zaidi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana hali ya kifedha ya Serikali ni Mbaya? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa?

    Hello comrade nasawalimu Kwa upendo naomba tuwaze hili Kwa pamoja, je yawezekana Serikali hali yake kifedha si njema kukidhi majukumu yake? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa? Je kuna mahali Kodi stahiki haikusanywi Kwa usahihi? Shida vyanzo? Budgetary long-term approaches za kikodi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

    Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…