Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya...
Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote .
Moja kwa moja niende kwenye mada husika .
Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa.
Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Habar wa wakuu, heri ya mei mosi.
Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake
Ni...
Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema.
Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
Na Francis Nyonzo
Sekta isiyo rasmi imeajiri 76% ya watu nchini Tanzania; 47.6% katika biashara ya jumla na rejareja, ukarabati wa magari na pikipiki, na 12.9% katika huduma za malazi na chakula. Biashara ndogondogo ni zile ambazo zina wafanyakazi chini ya watano ambazo mara nyingi...
1. Kutumia Fedha uliyoipata kabla ya kuweka Akiba: Msemo wa 'Ponda Mali kufa kwaja' au 'Nimepata pesa hii kwa shida, acha nitumie' hupelekea Vijana wengi kufanya Matumizi yasiyo na ulazima na kukosa Akiba
2. Kutupa Risiti (Stakabadhi za Malipo): Unaweza kudhani risiti za vitu unavyonunua hazina...
Na Pili Mwinyi
Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
Personal Fınance,
Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana.
Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae.
Tunashauri mtu afate njia ya...
Hassan Zhou
Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha.
Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
Na Kelly Ogome
China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha.
Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'.
Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like.
Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo.
Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA)
Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes.
Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu??
Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;-
• Akiba
• Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi
• Mikopo kutoka taasisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.