kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uganda Charges Militia Chief Over Tourist Murders

    Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month. A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
  2. Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo.. "Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa...
  3. Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

    Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko Mashariti ya Kati! This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries. The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians . I'm...
  4. Mkuu wa Alshabaab auawa

    Mkuu pamoja na wapiganaji wake wamewahishwa wakapewe ile dhawabu ya mabikira, ila sasa huyu kwa vile alikua mkuu sijui kama naye anapewa idadi sawa ya hao mabikira 72 au yeye atafikishiwa hadi 200 hivi.... Sijawahi kukaa nikaelewa kwanini mazombi wa kidini huwa obsessed na mabikira, kiukweli...
  5. Magaidi wenye itikadi za kidini (Boko Haram), wachinja wakulima 10 na kuteka 9

    Hawa ni waafrika ambao wanaamini kwamba wameelekezwa na 'mungu' wao muarabu kuchinja maskini Waafrika wenzao................ Marauding Boko Haram insurgents, Saturday, killed 10 farmers and abducted a few others in Mafa Local Government Area of the state. Aside from this attack which occurred...
  6. Kuna uhusiano gani kati ya msimamo mkali wa kidini na umasikini?

    Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists) Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu. Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi. Wengi...
  7. R

    Viongozi wa kidini wanaondoa dhambi?

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hakuna ondoleo la dhambi linalotokana na kiongozi wa dini; vitabu vitakatifu vyote vimekabidhi mamlaka yakuondoa dhambi kwa Mungu siyo kwa wanadamu. Kwanini watanzania tumekuwa wepesi kuamini maaskofu na masheikh wanaweza kutuondolea dhambi? Hawa ni viongozi wa...
  8. Yanga na Simba ni imani ambazo zina nguvu kuliko imani za Kidini

    Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma. Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe. Mtu atachelewa au...
  9. Msingi wa siasa za Tanzania uko kidini, kamwe haiwezekani ukatenganisha dini na siasa za Tanzania

    Baada ya Serikali na CCM kubanwa kona zote kuhusu mkataba wa bandari na DP world, watawala na wapambe wao wakaona njia rahisi ni kuwagawa watanzania kidini mpango ambao nao umegonga mwamba. Hoja iliyobakia kwa watawala ikawa ni kuzifunga mikono na midomo taasisi za kidini zisijadili mkataba wa...
  10. Kiongozi wa Boko Haram, Amir Bukkwaram, ajisalimisha

    Aona bora kujisalimisha badala ya kufa maana wanapelekewa moto sana wale....mambo ya kufa wakawahi mabikira yamewatoka. ========= The Boko Haram Commander that instigated an ethnic clash between insurgents leading to the killing of 82 fighters has surrendered to the military. Security sources...
  11. Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  12. Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  13. Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
  14. M

    Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  15. Uganda: Magaidi ya ADF waanza kujisalimisha

    Yameona mwanga na kuamua hayapo tayari kuwahishwa kwenda kule kwa mautamu ya akhera. Japo natoa wito yasiaminiwe sana kihivyo, inaweza ikawa zuga ya kupata fursa ya kuachiwa yajilipue sehemu yenye watu wengi. ========= The joint forces of the Uganda Peoples' Defence Forces (UPDF) and the Armed...
  16. I

    Naibu Imamu auwawa katika vurugu za kidini nchini India

    Naibu Imamu ameuawa baada ya kundi la Wahindu wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuteketeza na kufyatua risasi msikiti mmoja katika kitongoji cha mji mkuu wa India, New Delhi, saa chache baada ya ghasia mbaya za kijamii katika wilaya jirani. Polisi wamemtaja mwathiriwa kuwa ni Maulana...
  17. Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

    Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila. Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na...
  18. M

    Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

    Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine. Mara nyingi wanamichezo...
  19. Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  20. Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu. Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…