Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena
Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach🤣🤣 lakini uchezaji wao ni Kama konokono wa migombani!
Huyu bwana energy yake, maarifa yake ni babkubwa, anatoa somo kwa...