kiafya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari za kiafya na kiuchumi zitokanazo na bidhaa zitakanazo na zao la tumbaku ni nyingi kuliko faida za uzalishaji; tunahitaji sera mpya kwenye hili

    Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tuanze na kilimo cha Pamba GMO isio kuwa na hatari kiafya, Ili kukuza zao hilo mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022. Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Unywaji pombe salama na bora kiafya

    Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku? Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  5. JamiiForums Tanzania Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

    Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili Kama hakuna ulazima...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

    Kwema Ndugu zangu, Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote. Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...
  10. JamiiForums Tanzania Rangi ya Choo kubwa na utambuzi wake kiafya

    Kinyesi cha kawaida huwa na rangi ya hudhurungi (brownish) kutokana na kuwepo kwa kemikali ya 'stercobilinogen' kwenye utumbo. Kinyesi cha watoto wachanga huonekana kahawia-njano au kijani-njano. Kinyesi Kisicho na rangi (Pale coloured stool) ni kwa sababu ya kukosekana kwa 'stercobilinogen'...
  11. JamiiForums Tanzania Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

    Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho. Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala. Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
  12. JamiiForums Tanzania Faida 6 za Kiafya za Kufanya Mapenzi Salama

    Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo. 2. Huongeza ukakamavu wa mifupa. 3. Hupunguza msongo wa mawazo. 4. Hupunguza maumivu. 5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume. 6...
  13. JamiiForums Tanzania Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

    Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
  15. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  17. JamiiForums Tanzania Usipuuzie ulaji wa matunda. Ina faida kubwa sana kiafya

    Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika. Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  20. JamiiForums Tanzania Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…