Rangi ya Choo kubwa na utambuzi wake kiafya

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Kinyesi cha kawaida huwa na rangi ya hudhurungi (brownish) kutokana na kuwepo kwa kemikali ya 'stercobilinogen' kwenye utumbo. Kinyesi cha watoto wachanga huonekana kahawia-njano au kijani-njano.

Kinyesi Kisicho na rangi (Pale coloured stool) ni kwa sababu ya kukosekana kwa 'stercobilinogen' kutokana na ufyonzaji usio wa kawaida wa mafuta kwenye utumbo (obstructive jaundice).

Kinyesi cha 'kahawia-nyeusi' ni kutokana na matibabu ya madini chuma (iron therapy), kutokwa na damu kwenye utumbo au maambukizi ya minyoo.

398848110_722867859860072_6140430750733195655_n.jpg
 
Back
Top Bottom