kesi ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea kesi ikafutwa sababu ya ushahidi dhaifu au kwa kubambikiwa, haki ya mtuhumiwa inarejeshwaje?

    Kuna msemo unasema 'Justice delayed is justice denied' na huu ndio uhalisia unaojitokeza kwenye mifumo yetu ya Haki Jinai. Mtu anakamatwa, anafunguliwa kesi, lakini upelelezi haujakamilika—maombi ya muda yanaendelea. Shauri likifika mahakamani, bado upande wa mashitaka unaomba muda zaidi, au...
  2. curie

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Picha inaelezea vitu vingi.
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

    Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye. Hakuna sababu ya...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi?

    Wanabodi Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi mamlaka za kuja na...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Is it a prosecution or persecution?

    Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere," Ukiachilia mbali maelekezo ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi

    Mapema leo Juni 16, 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini na Kesi ya kuchapisha uongo Mtandaoni zinazomkabili ikiwa ni mara ya tatu kwa sasa kufika Mahakamani kusikiliza kesi yake === Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suphian Juma: Askofu Gwajima ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea. Apewe kesi ya Uhaini, afutwe CCM na kanisa lake lifungwe

    Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1) Na adhabu zingine, Anastahili; 1) Kufutwa CCM 2) Kanisa lake lifutwe 3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais Ajifunze dola sio...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Tarehe 2 juni wafuasi wa CCM,CHAUMMA,ACT,CUF N.K Waruhusiwe kwenda kwenye kesi ya uhaini

    Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakenya wasema watakuja kuhudhuria kesi ya Lissu na watahakikisha wenzao walioshikiliwa huku wanarudi kwao salama, hawamwogopi Rais Samia

    Wakuu, Kunazidi kutokota huko, majirani wanasema hawatakaa kimya wakiona wenzao wanahenyeshwa wakati hawajafanya kosa lolote. ===== Wakenya wasema watakuja Tanzania kusikiliza kesi ya Lisuu, na kuhakikisha wenzao walioshikiliwa nchini wanakuwa salama na wanarejea wakiwa wazima makwao...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Mjue mmoja wa wanaojiita wanaharakati waliozuiliwa na kesi ya uhaini -Utaanza kunusa kitu

    Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kesi ya UHAINI ya TAL .. Figisu zimeanza

    Nimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Suala la Lissu kukamatwa kwa kesi ya uhaini lilipangwa kimbele, iliyobaki ilikuwa kusubiri siku akiongea chochote kitakachohalalisha akamatwe

    Nimeshitushwa sana na habari hii,, mtu wa ndani akinieleza kwamba kulikuwa tayari na mpango wa kumtafutia Lissu kosa la kesi ya uhaini, kabla hata hajayatamka maneno ambayo ndio wamemfungulia mashataka. Anasema, "suala hili lilipangwa baada ya mkakati wa kumsaidia Mbowe kushinda tena uenyekiti...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
  20. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aliunda tume kuchunguza mfumo wa Haki jinai, akumbushwe kumfikisha mtu mahakamani bila upelelezi kukamilika ni kukiuka Haki jinai

    Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao. Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
Back
Top Bottom