kesi ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya uhaini inaweza kuchukua miaka mitatu mpaka minne, hii ya Lissu inaweza kufika 2029

    Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere. Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

    Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee. Polisi wamesema watampandisha...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

    Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini. Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?

    Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi. Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
  8. Exile

    JamiiForums Tanzania Serikali za kiafrika zingeweza kuvumilia hili? Hapa waandamaji wangepewa kesi ya uhaini

    Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken. Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

    Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba 5, 2000. Aliishi miaka 74 ya machozi, jasho na damu. Alizaliwa kwa jina la Titi Mohammed Salum...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

    Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
  11. Farolito

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Wakuu, Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema." Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...
Back
Top Bottom