Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameshinda mapingamizi yake, ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo, ambapo miongoni mwa mapingamizi hayo aliyoyawasilisha mwishoni mwa juma lililopita ni pamoja na lile linalohusu kupinga Mahakama kupokea 'Flash Disk' na 'Memory Card' kama kielelezo kutoka...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatano Oktoba 22.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kama ilivyo kawaida chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan...
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.
Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini.
Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Oktoba 15, 2025.
Last time tuliishia part 101 so leo tunaendelea na
Part 102
Leo Tarehe 15/10/2025.
Mheshimiwa Tundu Lissu ameingia Mahakamani.
Amesimama Kizimbani anauliza Polepole amepatikana na Mama anasemaje si Balozi wake?
Majaji wameingia na Shahidi nae...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tayari msafara uliombeba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu umefika kwenye viunga vya Mahakama hiyo, kwaajili ya kuendelea na mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili kwa ratiba ya leo, Jumatatu Oktoba 13.2025
Kesi hiyo...
..kichwa cha habari chahusika.
..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara.
..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara.
..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Oktoba 10.2025 kwaajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili
Kesi hiyo ambayo inasikilizwa kwa mfululizo Mahakamani...
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
Part 74
Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu?
George: Sifahamu
Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika...
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia ndani ya mahakama kwenye kesi ya Mh. Tundu Lissu.
Soma
CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi...
Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama.
Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,?
Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
Leo, Alhamisi Septemba 18.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam
Leo Jamhuri itaanza kujibu mapingamizi mawili yaliyowekwa na Tundu Lissu, ikiwemo pingamizi linalohusu uhalali wa...
Tangu Kisutu hadi mahakama kuu nikifuatilia hii kesi ya uhaini nimefikia hitimisho kuwa kinachofanyika ni figisu tu. Lugha ngumu, mabuku makubwa, muda mwingi kupotea, na mavazi yenye madoido mengi, n.k.
Fikiria mtu anajenga hoja na kujenga hadi unaziona lakini watu wanateta kando kisha wanasema...
DCI Ramadhani Kingai na polisi wake, DPP na mawakili wake wa walichokiira "Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu" wakiongozwa na wakili wa Jamhuri Nassoro Katuga na Hakimu Franco Kiswaga wa Kisutu Magistrate Resident Court mpaka hapa tulipo, walipaswa kuwa wamekula pingu na kuwa gerezani kwa makosa ya...
Kesho baada ya Tundu Lissu kuhitimisha rejoinder ya hoja za upande wa Jamhuri kupinga mapingamizi yake, itathibitika pasipo shaka yoyote kuwa, kulikuwa na conspiracy to distract justice of the accused kulikofanywa na hakimu wa mahakama ya ukabidhi (committal court) ya Kisutu ndugu Franco Kiswaga...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali.
Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.