kesi ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: John Heche ameanza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Shahidi wa nne ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, Septemba 9, 2026 amekamilisha sehemu zote za utetezi wake. Mapema leo baada kesi kuanza mawakili wa Serikali waliendelea na maswali...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, alisema hotuba ya Lissu ya Aprili 3, 2025 ilihusu mageuzi ya mfumo wa Uchaguzi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea leo Septemba 7, 2026 katika hatua ya maswali ya dodoso kwa shahidi wa tatu ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Amani Golugwa. Maswali hayo ya dodoso...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msiniache ukonga pekee yangu nadoda, mje kuniona

    Karibuni Ukonga' - Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa asema haoni uwezekano wa mtu mmoja kuitishia Serikali, kupanga na kutekeleza kosa la uhaini

    Mhe. Lissu: shahidi ulisema Jambo TV na Chanzo TV walirusha mkutano huo live, waeleze majaji kwa ufahamu wako uwepo wa hatua zozote za kuwafungulia Jambo TV na Chanzo TV mashtaka ya kuwezesha uhaini Golugwa: kwa ufaham wangu sijasikia wala sijaona hatua zozote dhidi ya waandishi wa habari wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika amjibu Mrema: Ungetaka walipwe wote, ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400

    Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania? Mnyika: Ni sahihi. Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo? Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

    Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji wanaoskiza shauri hilo. Haya mengine yanayoendelea sasa ni katika kukamilisha ratiba tu za usikilizaji...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

    Hatua ya maswali ya dodoso (Cross Examination) kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanatarajiwa kutamatishwa leo Agosti 27, 2026 na kufungua mlango kwa shahidi mwingine wa Lissu kupanda kizimbani kwaajili ya kutoa utetezi wake. Jana Agosti 26, 2026, Tundu Lissu alihitimisha kutoa ushahidi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa uovu ninaoufahamu wa hili genge la wahuni hawa, sintashangaa kusikia Dr. Nchimbi kafunguliwa kesi ya uhaini; hawana aibu!

    Tusubiri yajayo. Hawa watu hawaogopi hasira ya wananchi, hawana aibu na wamejaa uovu mwingi kiasi kwamba mioyo yao huenda imegeuka rangi kuwa myeusi. Sintashangaa baada ya muda fulani kusikia wamemfungulia Dr Nchimbi kesi ya uhaini!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kuendelea leo Agosti 24, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, ikiwa katika hatua ya uwasilishaji wa ushahidi wa mshtakiwa mbele ya jopo la Majaji...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Lissu ana Kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa Jamhuri uliotolewa (Agosti 21, 2026). Amtaja Rais Samia kuwa shahidi wake

    Jopo la majaji watatu, wanaoongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru wanaosikiliza Shauri la uhaini Namba 19605/2025 dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wanatarajiwa kutoa uamuzi leo Agosti 21, 2026 kama Mwanasiasa huyo anayo kesi ya kujibu au hana katika shauri hilo. Ikumbukwe, Agosti 17...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Zifahamu kesi kubwa tano (5) zinazohusika na mashtaka ya uhaini zilizowahi kufikishwa na kusikilizwa katika Mahakama za Tanzania

    Katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna kesi kubwa tano (5) zinazohusika na mashtaka ya uhaini zilizowahi kufikishwa na kusikilizwa katika Mahakama za Tanzania. Nitawapitisha 1. Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika) Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ya uhaini kuendelea leo, Agosti 10, 2026

    Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo, Jumatatu, tarehe 10 Agosti 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi. Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam, na imepangwa kuendelea kusikilizwa mfululizo...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Shauri la uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri kuendelea Mahakama Kuu kuanzia August 10 - 7 Septemba, 2026

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026. Kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kikao hicho, kitafanyika kikao cha awali cha kujadili maandalizi ya usikilizwaji...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyojitokeza kesi ya Lissu dhidi ya Bwana Jela, kesi ya Lissu ya uhaini yapaswa kuwa "mistrial au annulment of trial", yaani najisi ya kutupwa!

    Kwa waliosoma cross examination ya Lissu dhidi ya Bwana Jela wa Ukonga, ni wazi wataona jinsi serikali nzima ya Samia imekuwa ikimfanyia Lissu kila aina ya ukandamizaji, ubaguzi, uonevu, unyanyasaji, unyapaa na kumbana akiwa mahabusu. Bwana Jela wa Ukonga amehojiwa na Lissu kwa namna ambayo...
Back
Top Bottom