kero

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiteto: Walimu waliohamishwa Januari 2024 hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu

    Walimu waliohamishwa tangu Januari 2024 Wilayani Kiteto hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu, tunaomba mamlaka iingilie kati.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

    Wakuu, mambo salama!? Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo. Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa kimtindo fulani. Then I realized, it is true. Nilikuwa jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Malori ya kampuni za Mt. Meru Depot, HASS, Afroil na W. Oil T2 yamekuwa yakipaki barabarani eneo la Kigamboni yakisubiri kupakia mafuta

    Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika. Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
  5. JamiiForums Tanzania Kero: Mdudu mla mbao juu ya dari dawa yake ni nini?

    Ndugu zangu habari ya usiku? Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao. Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Kero kwa Bank ya CRDB

    Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua. Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  9. JamiiForums Tanzania Utitiri wa nguzo sasa ni kero

    Salaam,kwa sasa uwekaji wa NGUZO hapa Dar umeishakuwa kero yaani zinaharibu show ya jiji,kwanini makampuni yenye hizo nguzo yasishirikiane kushare nguzo moja ibebe waya zao zote? Mnaosimamia hili jiji hebu kaangalieni mandhari ya majiji kama Tokyo au San Fransisco mpate kujifunza.Hizi picha...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali irudishe baadhi ya maeneo ya bonde la mto Kilombero kwa wananchi kuwanasuru wananchi hao na wimbi la umasikini.

    Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
  11. JamiiForums Tanzania Kero ya watu kudrift magari yao kwenye mitaa ya raia.

    Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

    GT Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana. Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Shilingi bilioni 200 kuondoa kero ya nishati ya umeme Songwe

    Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme mkoani humo.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Responded Mrejesho: Kero huduma ya majisafi Kibaha Pangani

    Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
  19. JamiiForums Tanzania Kero: Vyoo vya Simu 2000 ni vichafu sana

    Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza. Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya kazi. Hali hii inalazimu watu kukaa zaidi ya saa moja hadi mbili kusubiria magari machache hayo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…