kero

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi Ya Basi Msamvu Morogoro inalipisha pesa ya kuingia hata kama una tiketi

    Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini. Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ajali nimeipita hapa Matumbi wanapoweka camera askari

    Kuna ajali nimeipita hapa Matumbi wanapoweka camera askari hapo. Kuna gari zimegongana 2. Sasa inavyoonekana wa gari dogo alijichomela kwenye blind sport ya gari kubwa akajua anaonekana akagongwa. Gari yake haijaumia sana ila kataka alipwe. Sasa mwenye gari kubwa gari yake ina Bima Kubwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Majitaka Sinza: Kero na Uharibifu

    Habari, Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa. Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Wanafunzi kulazimishwa kusoma tuition shule za Serikali

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya nauli Pangani; Baadhi ya magari yanayotoza nauli Tsh. 5000 badala ya Tsh 4000

    Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda Tanga ni 50.7Km na barabara ni nusu lami, nusu vumbi. Lakini kumekuwa na magari yanayotoza nauli...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kero ya Michango ya Uandikishaji na Chakula Shule ya msingi Mkuza

    Habari, Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi Mkuza iliyopo kata ya Picha ya Ndege kituo cha daladala maarufu kwa Mbonde Wamekuwa na utaratibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  8. JamiiForums Tanzania KERO: WATOTO KUFANYISHWA KAZI USIKU KAMA OMBAOMBA.

    Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli. Watoto wananyeeshewa na mvua baridi kali. Watoro ni wadogo kuna mmoja wa kike ni mdogo mno Serikali ustawi wa jamii ..
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua za uthibitisho Ajira Mpya Tabora ni kero tangu Mwaka 2024

    Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
  11. V

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Samaki kufungashiwa ndani ya mabasi ya abiria safari za usiku kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine

    Habari Wanajukwaa, Naleta hili kama mdau na msafiri wa mara kwa mara. Tumekuwa tukishuhudia tabia isiyofaa kutoka kwa baadhi ya mabasi ya abiria yanayofanya safari za usiku kutoka Mkoani Mwanza kuelekea mikoa mingine. Baadhi ya haya mabasi yamegeuka kuwa “madaladala ya samaki” usiku. Unakuta...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo

    Habari jamii forum, Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi. TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia. Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na bado weekend wanasema wanamatengenezo kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa11...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Pale Uchovu unapofanya alamu iwe kero, wakati nimeweka mwenyewe hasa weekend😄

    Basi bhana Mimi ndo mweka alamu lakini na snooze sana, mpaka maana ya alamu inapotea 😁😁😁 Mwendo wa kusnooze hii weekend ni 🔥🔥, Mvua, baridi Kali alamu inasumbua, saa 11 kamili naenda wapi sasa alamu bhana. 😁😁
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mchinga 2 hadi Kijiji cha Ruvu Mkoani Lindi ni mbovu mno

    Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana. Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero

    Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa zako zimeliwa na Virus like seriously 😳?
  16. JamiiForums Tanzania Polisi Pwani wakanusha Mwigulu kumteka Askari aliyetoa kero kwake kuhusu askari mwenzake

    Wakuu, Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda. Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya nzi - Pugu Kinyamwezi

    Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kero ya mkopo

    Salaam! Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana. Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…