Mr.Black
Member
- Jun 9, 2014
- 95
- 73
Tunaomba Msaada Rais Samia Utusadie wahitimu wa Social Protection kupata fursa za Ajira serikalin
Kwanza nianze Kwa kupongeza utendaji kazi wako Mh Rais umekuwa mwanga na Tumaini la wengi ikiwemo sisi wanafunzi wa vyuo vikuu umekuwa na jitihada za kutoa Fursa za Ajira Kwa vijana ila kwa wasomi wa Social Protection imekuwa ni changamoto kwao ya miaka mingi na kujikuta wamemaliza vyuo na inapotokea fursa za Ajira zenye vigezo vya Taaluma Yao.
Bado Mfumo wa Ajira Utumishi unagoma na kuonesha hawana vigezo ilihali wakati wanakuwa na vigezo (mfano mdogo ni ajira za muda mfupi za WCF ambazo wiki hii ndiyo mwisho wa kutuma maombi ya kazi deadline Yao ni 19/2/2023 Tunaomba warekebishe hii haraka wahusika wapate nafasi ila mfumo wa Ajira ya utumishi unagoma kuruhusu maombi ya Compliance officer ambayo hii ndiyo field yake mtu wa social protection ni sawa na kusema mhasibu afu asiweze kupewa nafasi ya kuomba account)
Wahitimu Kwa nyakati tofauti wamehangaika Sana Kwa kushirikiana wakati mwingine na chuo husika ifm baada ya kuona wanafunz wanakosa fursa za Ajira za serikali lakin imeonekana scheme of service inayotambulika na utumishi na pia mifuko yote wanatambua social security ambayo hii IFM WALIA ha kufundisha miaka mingi na Sasa wanafundisha social protection. Kwahiyo ombi letu ni kuona scheme of service inabadilishwa ili vijana wako ambao Kwa miaka mingi wanataman kupata fursa hiz za Ajira wapate hizo nafasi.
Kwa ufupi Sana naweza kuonesha baadhi ya sehemu ambazo wataalamu WA social protection wanaweza kusadia kufanya Kwa Taaluma Yao.
"A Social Protection Expert can work as:"
1. Social security administrator & Operator (Membership, Compliance, Benefit, Marketing etc)
2. Socioeconomic Policy analyst
3. Social welfare officer
4. Socioeconomic Project Coordinator
5. Socioeconomic Researcher etc.
6. Compensation & Benefits Specialist/ Total Rewards Specialist
n.k
"-Maeneo ya kazi ni pamoja na;"
1. Social Security Schemes (i.e. NSSF, NHIF, PSSSF, WCF, ZSSF, ZUPs etc)
2. Social Assistance Programme (i.e. TASAF, SATF etc)
3. LGAs (i.e. Social welfare desk, Community Dvt dept, etc.)
4. International Org' (i.e. ILO, UNICEF, UNDP, WHO, etc)
5. Halmashauri ( Mkoa or Wilaya zote zenye Social Welfare department "Maendeleo ya Jamii" )
6. Gvt Ministries (i.e. Wizara ya Ajira na Vijana, W/ Afya, jinsia, wazee na watoto n.k. ofisi za utumishi).
7. Private Companies zote zenye dept za HR + Pension Admin
8. Non Profit Orgs/NGOs (i.e. Project leader/coordinator, Relationship officers etc.)
9. Insurance Companies i.e BUMACO, Jubilee, GA, MO et
10. Some of Referral Hospital ( Zenye Insurance na Social Welfare department )
11. Any Public Office provide social services i.e Regional Immigration Office n.k
-AND MORE