KERO Kero Ya Maji kwa Wakazi wa TABATA

KERO Kero Ya Maji kwa Wakazi wa TABATA

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi.

Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi maji yakitolewa kuanzia saa 6 Usiku na kukatika baadha ya masaa machache. hii uladhimu kina mama na watoto kukaa macho usiku wakisubiria maji ambapo muda mwingine yanaweza yasitoke Kabisa.

Tunaomba Msaada kutoka kwa waziri kufuatilia Jambo hili kwani Mwanzo tulitaarifwa upungufu ukisha tatizo litapotea lakini Imekua sugu sasa kwa muda Mrefu.
 
Back
Top Bottom