Kero za Wananchi: Je, Ni "Petty Issues"?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
523
Reaction score
495
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.

Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi kwa matatizo ya wananchi.

Lakini swali la msingi ni hili:

Hivi mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 41 Mufindi ni petty issue?

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 51 Rombo ni petty issue?

Fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 200 zilizorejeshwa Katavi baada ya maagizo ya uchunguzi ni petty issue?

Mwananchi aliyepoteza haki yake kwa miaka mingi na kuzunguka ofisi mbalimbali bila majibu ni petty issue?

Kama haya ni mambo madogo, basi mambo makubwa ni yapi?

Labda badala ya kujiuliza kwa nini Waziri Mkuu anasikiliza kero za wananchi, John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wangetuambia kwa nini baadhi ya kero hizo zilifika mbele ya Waziri Mkuu wakati zilipaswa kuwa zimeshatatuliwa miaka mingi iliyopita.

Huo ndiyo mjadala wa msingi.

Kwa sababu hakuna anayepaswa kujivunia kwamba mwananchi amesota kwa miaka 20, 30 au 50 akisubiri haki yake.

Na pale kiongozi wa Serikali anapoamua kushuka chini, kusikiliza, kufuatilia na kuleta suluhisho, jambo la kujadili linapaswa kuwa matokeo yaliyopatikana, si dharau kwa wananchi waliokuwa wanatafuta msaada.

Watanzania wanaelewa jambo moja rahisi sana: kwa mwananchi anayekosa maji, ardhi, fidia, haki au huduma muhimu, hakuna kitu kinachoitwa petty issue.

Tatizo la mwananchi ni kubwa mpaka litakapopata suluhisho.

Ndiyo maana wanaobeza ziara hizi wanaonekana kupambana zaidi na matokeo kuliko mchakato wenyewe. Kwa sababu kila mgogoro unaomalizika, kila mwananchi anayepata haki yake na kila kero inayopata ufumbuzi huondoa sababu za malalamiko ambayo baadhi ya wanasiasa huyategemea kisiasa.

Mwisho wa siku, Watanzania hawatahukumu kwa maneno ya kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii. Watahukumu kwa matokeo.

Na historia mara zote huwakumbuka waliotatua matatizo ya wananchi, si waliodharau matatizo hayo.
 
Swali ni kwanini mgogoro wa ardhi udumu kwa miaka 50?
Hakuna afisa ardhi Wilaya?
Hakuna Mkurugenzi Wilaya?
Hakuna TAKUKURU Wilaya?

Lakini baada ya Mh. Waziri mkuu kupita kero zinazofuata zinatatuliwaje au ndio tusubiri miaka kumi apite tena?

Wanachongea ni lazima turekebishe mfumo ya uongozi.
 
Nadhani pia kuna hatua zinachukuliwa kwa watu wanaokuwa wamechangia kutokea kwa hilo tatizo, kwamba anatatua changamoto hiyo tu kisha maisha yanaendelea kama kawaida?
 
Waziri mkuu ni mmoja tu nchi nzima, tukianza kusubiri afike yeye achukue hatua ni sahihi?
 
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.

Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi kwa matatizo ya wananchi.

Lakini swali la msingi ni hili:

Hivi mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 41 Mufindi ni petty issue?

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 51 Rombo ni petty issue?

Fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 200 zilizorejeshwa Katavi baada ya maagizo ya uchunguzi ni petty issue?

Mwananchi aliyepoteza haki yake kwa miaka mingi na kuzunguka ofisi mbalimbali bila majibu ni petty issue?

Kama haya ni mambo madogo, basi mambo makubwa ni yapi?

Labda badala ya kujiuliza kwa nini Waziri Mkuu anasikiliza kero za wananchi, John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wangetuambia kwa nini baadhi ya kero hizo zilifika mbele ya Waziri Mkuu wakati zilipaswa kuwa zimeshatatuliwa miaka mingi iliyopita.

Huo ndiyo mjadala wa msingi.

Kwa sababu hakuna anayepaswa kujivunia kwamba mwananchi amesota kwa miaka 20, 30 au 50 akisubiri haki yake.

Na pale kiongozi wa Serikali anapoamua kushuka chini, kusikiliza, kufuatilia na kuleta suluhisho, jambo la kujadili linapaswa kuwa matokeo yaliyopatikana, si dharau kwa wananchi waliokuwa wanatafuta msaada.

Watanzania wanaelewa jambo moja rahisi sana: kwa mwananchi anayekosa maji, ardhi, fidia, haki au huduma muhimu, hakuna kitu kinachoitwa petty issue.

Tatizo la mwananchi ni kubwa mpaka litakapopata suluhisho.

Ndiyo maana wanaobeza ziara hizi wanaonekana kupambana zaidi na matokeo kuliko mchakato wenyewe. Kwa sababu kila mgogoro unaomalizika, kila mwananchi anayepata haki yake na kila kero inayopata ufumbuzi huondoa sababu za malalamiko ambayo baadhi ya wanasiasa huyategemea kisiasa.

Mwisho wa siku, Watanzania hawatahukumu kwa maneno ya kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii. Watahukumu kwa matokeo.

Na historia mara zote huwakumbuka waliotatua matatizo ya wananchi, si waliodharau matatizo hayo.
Ni upumbavu kwa Prime Minister kuhangaika na migogoro ya ardhi au na migogoro ya mirathi au na migogoro ya ndoa, kwanini waweke watu incompetent na wasiwawajibishe? Je PM asipoitatua ataenda VP au President? Mkifundishwa umuhimu wa strong, competent, reliable and responsible institutions mnang'aka mnataka tu iwe Samia kufanya hivi ooh mara katoa pesa pale(ilhali ni pesa za umma/za wananchi).
Kama wahusika wa hayo maeneo hawafanyi kazi zao basi hizo idara zifutwe na iwekwe wazi kuwa yatakuwa ni majukumu ya PM.
 
Watanganyika kwa kulialia bana ...

Yes, ni petty issues... kama anaweza si kuna Ripoti ya juzi tu hapa ya CAG aifanyie kazi tuone... au tuendelee kuwazomea???
 
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.

Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi kwa matatizo ya wananchi.

Lakini swali la msingi ni hili:

Hivi mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 41 Mufindi ni petty issue?

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 51 Rombo ni petty issue?

Fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 200 zilizorejeshwa Katavi baada ya maagizo ya uchunguzi ni petty issue?

Mwananchi aliyepoteza haki yake kwa miaka mingi na kuzunguka ofisi mbalimbali bila majibu ni petty issue?

Kama haya ni mambo madogo, basi mambo makubwa ni yapi?

Labda badala ya kujiuliza kwa nini Waziri Mkuu anasikiliza kero za wananchi, John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wangetuambia kwa nini baadhi ya kero hizo zilifika mbele ya Waziri Mkuu wakati zilipaswa kuwa zimeshatatuliwa miaka mingi iliyopita.

Huo ndiyo mjadala wa msingi.

Kwa sababu hakuna anayepaswa kujivunia kwamba mwananchi amesota kwa miaka 20, 30 au 50 akisubiri haki yake.

Na pale kiongozi wa Serikali anapoamua kushuka chini, kusikiliza, kufuatilia na kuleta suluhisho, jambo la kujadili linapaswa kuwa matokeo yaliyopatikana, si dharau kwa wananchi waliokuwa wanatafuta msaada.

Watanzania wanaelewa jambo moja rahisi sana: kwa mwananchi anayekosa maji, ardhi, fidia, haki au huduma muhimu, hakuna kitu kinachoitwa petty issue.

Tatizo la mwananchi ni kubwa mpaka litakapopata suluhisho.

Ndiyo maana wanaobeza ziara hizi wanaonekana kupambana zaidi na matokeo kuliko mchakato wenyewe. Kwa sababu kila mgogoro unaomalizika, kila mwananchi anayepata haki yake na kila kero inayopata ufumbuzi huondoa sababu za malalamiko ambayo baadhi ya wanasiasa huyategemea kisiasa.

Mwisho wa siku, Watanzania hawatahukumu kwa maneno ya kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii. Watahukumu kwa matokeo.

Na historia mara zote huwakumbuka waliotatua matatizo ya wananchi, si waliodharau matatizo hayo.

Tuchukue mfano mmoja (category) wa migogoro ya ardhi, ambao ni mfano wa kero kubwa nchi nzima.

Labda kusema petty issue kwa ujumla bila kuchanganua kesi kwa kesi si sawa, lakini Waziri Mkuu hatakiwi kuzunguka nchi akitatua migogoro ya ardhi.

Anatakiwa kutengeneza utaratibu wa watu walio chini kabisa kutatua migogoro hii.

Bila rushwa, bila usumbufu, kwa uwazi zaidi, kwa kutumia mitandao zaidi, itakayoonesha nani anafanya kazi gani kwa wakati gani, tuweze kuona ripoti nani mzembe.

Au kama tatizo ni la kimfumo si mtu mzembe, tuweze kuona where is the bottleneck? Tatizo linalokwamisha kazi liko wapi?

Kila mfanyakazi wa serikaki anayehusika na matatizo haya aweze kutengenezewa ripoti zenye kuonesha Key Performance Indicators. Tuweze kuona RAID report (Risks, Assumptions, Issues, and Dependencies). Kuwe na goals na milestones, kazi ifanywe kwa ushindani na malenho fulani.

Yani watendaji wa nchi nzima washindanishwe kiwilaya labda, halafu titafute namna ya kuweka usawa, labda utatuzi wa natatizo kiasilimia na kwa kuangakia workforce, washindi wazawadiwe dobge nono kila mwaka.

Wewe ubafikiri ukiweka donge nono ka milioni kadhaa kwa timu itakayoshinda, watu hawatataka donge nono na recognition?

Ukiweka milioni hamsini mpaka mia za walipa kodi, kama donge nono kwa timu ya ushindi, pesa zikaongeza ufanisi, is it not worth it?

Mbona Samia ananunua magoli na kutoa pesa kibao makanisani huko?

Meneja wa watu naye tupate ripoti watu walio chini yake wangapi wanaonekana kuzembea na watawajibishwa vipi. Meneja akishindwa kuwajibisha walio chini yake kwa muda fulani awajibishwe yeye.

Hii mifumo ipo tayari, kuna watu wanafanya hivi hatutakuwa tunaanzisha kitu kipya, tatizo ni nia na utekelezaji tu.

Tuweze kuona wananchi wanawafanyia reviews hawa watendaji, nani kaomba rushwa, nani katongoza mteja, nani kapoteza faili makusudi wakati faili linatakiwa liwepo.

Ukiweka hivi utaona matatizo yanapungua kama si kuisha, na uwajibikaji unapanda.

Kwani "Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi" inafanya kazi gani? Wizara ya Ardhi na urasimu wake wote inafanya kazi gani? Serikaki za mitaa zilizopo moaka vijijini zinafanya kazi gani?

Huu ujinga ulianza enzi za Mwinyi kukutana na wananchi Lumumba, akiwasikiliza matatizo yao na kuyatatua kama some Harun Rashid ruler out of Alfu Lela U Lela stories.

This is not how you run a modern state of millions of people. There is a bureaucracy created for that. Huu ni ujima na siasa za cheap populism Waziri Mkuu aonekane anawajali watu, kwa njia ambayo iko very inefficient.

Nilipokuwa mdogo nikisoma sekondari nilikuwa napenda sana kusoma vitabu vya uongozi vya baba yangu.

Katika moja ya vitabu nilivyosoma ni "Don't Do, Delegate!".

81JXWu0t8KL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg

Viongozi wengi wana tatizo la kuona bila wao kufanya mambo wenyewe, mambo hayaendi vizuri.

Kitabu kina mambo mengi, lakini somo kubwa lilikuwa kwamba kiongozi mmoja hawezi kuwapo kila sehemu kutatua matatizo yote, inampasa ajue kutatua matatizo strategic, na mengine kukasimisha watu wa chini, ku delegate.

Somo moja kubwa la kitabu ni kwamba, kiongozi kushindwa ku delegate ni weakness.

Tatizo la kwetu, si tu viongozi hawajui ku delegate, bali pia hawajui hata ku tengeneza mfumo ili watendaji wa chini wafanye kazi zao migogoro ya ardhi isihitaji Waziri Mkuu ili kutatuliwa.

Kwa hiyo nafikiri hata kulaumu viongozi kwamba hawa delegate si sawa, pengine lawama ni kwamba hawajaunda mfumo mzuri wa kuweza ku delegate bila matatizo.

Kwa hiyo, ingawa inawezekana kuita haya matatizo makubwa ya ardhi yaliyodumu miaka ningi petty issues si sawa, Waziri Mkuu anatakiwa kusimamia mambo strategic.

Yeye ni kiongozi wa serikali bungeni, anaongoza mawaziri, anatakiwa kufanyia kazi sera ya taifa ya ardhi, sheria za ardhi, urasimu katika wizara ya ardhi, kwa nini migogoro yote ipo, je, kuna tume ya kuchunguza na kutoa namna ya kutatua matatizo ya ardhi? Kama haioo iundwe, kama ilikuwapo ikatoa maowndekezo, maoendekezo yake yanefanyiwa kazi? Kama kuna mkwamo unetikea hata baada ya jufanyiwa jazi, mkwamo uko wapi? Kimfumo. Si kwa kutatua tatizo moja moja, si kutatua mgogoro mmoja mmoja.

Waziri Mkuu si mahakama ya ardhi.

Anatakiwa kushughulikia strategic issues sio kwenda on the ground kutatua matatizo kama yeye ni mtu anayefanyia kazi matatizo haya operationally.

Mnamgeuza Waziri Mkuu awe kama afisa wa ardhi w amkoa au wilaya.

Tatizo Waziri Mkuu anaacha kazi za kutatua matatizo strategically, anakwenda kutatua tatizo moja moja operationally.

Lakini pia, hata baada ya kusema kuita hizi issues petty si vizuri, pia petty issues zipo. Waziri Mkuu anahadithiwa matatizo ya mirathi ya familia, matatizo ya ndoa. Ndiyo maana watu wanasema petty issues.

Zaidi, hata hayo mambo ambayo Waziri Mkuu anayachukua, ni mangapi yanatatuliwa?

Mengi hayatatuliwi, ni nagasi ya kuonesha Waziri Mkuu anajali ili apate kupendwa na watu tu.

Kuna mtu jambo lake lilifika mpaka kwa Samia, Samia akatoa maagizo litatuliwe, na mpaka sasa agizo la rais halijatekelezwa. Kwa sababu hakuna ufuatiliaji, hakuna sheria, hakuna urasimu wa kufuatilia, hakuna bajeti, hakuna uwajibikaji usipotimiza kutatua tatizo utafanywa nini.

Rais ana mambo mengi. Mpaka Samia mwenyewe alisema anahitaji dashboard ya kufuatilia mambo. Na hilo tu linaonesha tatizo.

Kwa sababu rais hatakiwi kuangalia dashboard, rais anatakiwa na msaidizi wake wa kuangakia dashboard tu.

Kwa hivyo hata katika rais kutaka kuwa na dashboard awe anaiangalia alikosa delegation kwa kiasi fulani.

Ila inawezekana akawa na point kwamba anahitaji kuwa na access hata kukiwa na delegation.

So, viongozi wetu wame fail ku delegate, wame fail ku focus on strategic issues na kuweka mfumo ambao bureaucrats wa chini watafanya kazi operationally.
 
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.

Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi kwa matatizo ya wananchi.

Lakini swali la msingi ni hili:

Hivi mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 41 Mufindi ni petty issue?

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 51 Rombo ni petty issue?

Fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 200 zilizorejeshwa Katavi baada ya maagizo ya uchunguzi ni petty issue?

Mwananchi aliyepoteza haki yake kwa miaka mingi na kuzunguka ofisi mbalimbali bila majibu ni petty issue?

Kama haya ni mambo madogo, basi mambo makubwa ni yapi?

Labda badala ya kujiuliza kwa nini Waziri Mkuu anasikiliza kero za wananchi, John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wangetuambia kwa nini baadhi ya kero hizo zilifika mbele ya Waziri Mkuu wakati zilipaswa kuwa zimeshatatuliwa miaka mingi iliyopita.

Huo ndiyo mjadala wa msingi.

Kwa sababu hakuna anayepaswa kujivunia kwamba mwananchi amesota kwa miaka 20, 30 au 50 akisubiri haki yake.

Na pale kiongozi wa Serikali anapoamua kushuka chini, kusikiliza, kufuatilia na kuleta suluhisho, jambo la kujadili linapaswa kuwa matokeo yaliyopatikana, si dharau kwa wananchi waliokuwa wanatafuta msaada.

Watanzania wanaelewa jambo moja rahisi sana: kwa mwananchi anayekosa maji, ardhi, fidia, haki au huduma muhimu, hakuna kitu kinachoitwa petty issue.

Tatizo la mwananchi ni kubwa mpaka litakapopata suluhisho.

Ndiyo maana wanaobeza ziara hizi wanaonekana kupambana zaidi na matokeo kuliko mchakato wenyewe. Kwa sababu kila mgogoro unaomalizika, kila mwananchi anayepata haki yake na kila kero inayopata ufumbuzi huondoa sababu za malalamiko ambayo baadhi ya wanasiasa huyategemea kisiasa.

Mwisho wa siku, Watanzania hawatahukumu kwa maneno ya kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii. Watahukumu kwa matokeo.

Na historia mara zote huwakumbuka waliotatua matatizo ya wananchi, si waliodharau matatizo hayo.
watu wa aina hiyo ni wakupuuzwa tu gentleman 🐒
 
Sisi hatujaona live, tunataka wafikishwe mahakamani, watajwe majina na wapewe hukumu.
Sisi sio wajinga mnatuongopea
Getleman,
mengi ya masuala hayo yalishashughulikiwa na kuchukuliwa hatua muhimu za kisheria, na machache tu ndio yapo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji 🐒
taka
 
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.

Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi kwa matatizo ya wananchi.

Lakini swali la msingi ni hili:

Hivi mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 41 Mufindi ni petty issue?

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 51 Rombo ni petty issue?

Fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 200 zilizorejeshwa Katavi baada ya maagizo ya uchunguzi ni petty issue?

Mwananchi aliyepoteza haki yake kwa miaka mingi na kuzunguka ofisi mbalimbali bila majibu ni petty issue?

Kama haya ni mambo madogo, basi mambo makubwa ni yapi?

Labda badala ya kujiuliza kwa nini Waziri Mkuu anasikiliza kero za wananchi, John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wangetuambia kwa nini baadhi ya kero hizo zilifika mbele ya Waziri Mkuu wakati zilipaswa kuwa zimeshatatuliwa miaka mingi iliyopita.

Huo ndiyo mjadala wa msingi.

Kwa sababu hakuna anayepaswa kujivunia kwamba mwananchi amesota kwa miaka 20, 30 au 50 akisubiri haki yake.

Na pale kiongozi wa Serikali anapoamua kushuka chini, kusikiliza, kufuatilia na kuleta suluhisho, jambo la kujadili linapaswa kuwa matokeo yaliyopatikana, si dharau kwa wananchi waliokuwa wanatafuta msaada.

Watanzania wanaelewa jambo moja rahisi sana: kwa mwananchi anayekosa maji, ardhi, fidia, haki au huduma muhimu, hakuna kitu kinachoitwa petty issue.

Tatizo la mwananchi ni kubwa mpaka litakapopata suluhisho.

Ndiyo maana wanaobeza ziara hizi wanaonekana kupambana zaidi na matokeo kuliko mchakato wenyewe. Kwa sababu kila mgogoro unaomalizika, kila mwananchi anayepata haki yake na kila kero inayopata ufumbuzi huondoa sababu za malalamiko ambayo baadhi ya wanasiasa huyategemea kisiasa.

Mwisho wa siku, Watanzania hawatahukumu kwa maneno ya kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii. Watahukumu kwa matokeo.

Na historia mara zote huwakumbuka waliotatua matatizo ya wananchi, si waliodharau matatizo hayo.
Kiongozi mzuri hatumii muda wake kutafuta matatizo ya wananchi na kuyatatua singlehandedly. Anatumia muda wake kujenga uwezo wa kitaasisi ili shida za wananchi zitatuliwe at a large scale bila kujali kama yeye yupo au hayupo!
 
Back
Top Bottom