Kenya 2022 Uchaguzi Kenya: Matokeo rasmi ya kura za Urais Kenya 2022

Kenya 2022 General Election

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
William Ruto (UDA)
50.49%
7,176,121 Votes

Raila Odinga (AZIMIO)
48.85%
6,942,930 Votes

George Wajackoyah (RPK)
0.44%
61,969 Votes

David Waihiga (AGANO)
0.23%
31,987 Votes

==============

Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa matokeo yalidukuliwa.

Saitabao Ole Kanchory ambaye ni Mkuu wa Kampeni wa Odinga amesema:

“Tuna ripoti za Kiintelijensia kuwa mfumo wao ulidukuliwa na kwamba baadhi ya maafisa wa IEBC walitenda makosa ya uchaguzi na baadhi yao walipaswa kukamatwa lakini hawakukamatwa.”

==================

Presidential candidates George Wajackoyah of Roots Party and David Mwaure of Agano Party arrive at Bomas.
w639dp-h960dp.jpg

Matokeo ya kura za Urais yanatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia leo Agosti 15, 2022

Kenya: Tume yafafanua matokeo ya kura kupishana, sababu takwimu si rasmi
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa ruhusa kwa Vyombo vya Habari vya #Kenya kutoa takwimu zao kulingana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yale ambayo yatatangazwa na IEBC baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika.

Wafuatiliaji wengi wamepatwa na ukakasi wa kuamini matokeo yapi ni sahihi, lakini hiyo ni kwa kuwa hii ni mara ya kwanza kwa IEBC kutoa ruhusa kwa Vyombo vya Habari kutoa ripoti ya takwimu wanazokusanya katika vituo vya kura.

=================

MCHEKESHAJI ASHINDA UBUNGE

Msanii wa kuchekesha Felix Odiwor "Jalang’o" ambaye pia alikuwa mtangazaji wa redio ameshinda nafasi ya Ubunge wa Lang’ata kupitia tiketi ya ODM katika Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya.

Jalang’o amepata kura 38,948 dhidi ya Nixon Korir aliyekuwa alitetea nafasi ya Ubunge aliyepata kura 36,836 kupitia tiketi ya UDA.

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 11:00 Jioni, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:
Kumiii.JPG

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 9:22 Alasiri, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:
Tisa.JPG

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 8:17 Mchana, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:
Nane.JPG

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:36 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:

NNE.JPG

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:33 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Nation Kenya:
Tatu.jpg

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:02 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Nation Kenya:
Kura 03.JPG

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 3:49 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:
Matokeo 49.JPG
 
Nilikuwa naangalia maeneo yenye watu wengi na namna mchuano ulivyo.... Ramani zinajionesha sina maneno mengi
Screenshot_2022-08-11-15-23-14-44.png
Screenshot_2022-08-11-15-23-07-77.png
 
Matokeo ya kura za Urais yanatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia leo Agosti 15, 2022

Kenya: Tume yafafanua matokeo ya kura kupishana, sababu takwimu si rasmi
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa ruhusa kwa Vyombo vya Habari vya #Kenya kutoa takwimu zao kulingana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yale ambayo yatatangazwa na IEBC baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika.

Wafuatiliaji wengi wamepatwa na ukakasi wa kuamini matokeo yapi ni sahihi, lakini hiyo ni kwa kuwa hii ni mara ya kwanza kwa IEBC kutoa ruhusa kwa Vyombo vya Habari kutoa ripoti ya takwimu wanazokusanya katika vituo vya kura.

=================

MCHEKESHAJI ASHINDA UBUNGE

Msanii wa kuchekesha Felix Odiwor "Jalang’o" ambaye pia alikuwa mtangazaji wa redio ameshinda nafasi ya Ubunge wa Lang’ata kupitia tiketi ya ODM katika Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya.

Jalang’o amepata kura 38,948 dhidi ya Nixon Korir aliyekuwa alitetea nafasi ya Ubunge aliyepata kura 36,836 kupitia tiketi ya UDA.

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 11:00 Jioni, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 9:22 Alasiri, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 8:17 Mchana, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:36 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:33 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Nation Kenya:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 4:02 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Nation Kenya:

Matokeo ya Urais yanayoendelea hadi kufikia Saa 3:49 Asubuhi, Agosti 11, 2022 kwa mujibu wa Kituo cha Citizen Digital:
Raila naona ana wakati mgumu
 
Back
Top Bottom