Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2
Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!
Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili.
Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu.
Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly
Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali.
Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani.
Ikumbukwe tofauti...
Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff.
Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi.
Kifo chake...
Walikuwa sehemu ya Kikosi Maalumu cha Upelelezi ambacho kilivunjwa na Rais William Ruto kwa madai ya kutekeleza mauaji ya kiholela na kutoweka kwa washukiwa kwa miaka kadhaa.
Miongoni mwa wanaodaiwa kuwa waathirika ni raia wawili wa India waliotoweka mwezi Julai na mabaki yao kugunduliwa wiki...
Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe.
Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
Ama kweli atakuwapo aliyeturoga.
Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi?
Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo.
Marubani hao walidai kuwa madai yao mengi hayajatatuliwa, na hivyo wanaamua kuchukua uamuzi huo.
Kwa mujibu wa notisi yao watagoma ndani ya...
Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha.
Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii:
41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs!
Ebu jumlisha hizo pesa, kisha Convert hizo pesa kuja Tanzania Shillings, halafu unaambiwa ni ukwasi wa watu waliowahi...
Grace Kuria
Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia.
Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika nafasi ya Waziri wa Masuala ya Kigeni Dkt. Alfred Mutua, ambaye alisema wasichana hao walinyanyaswa...
Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina.
Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...
Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail.
Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa'
Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya Mfuko wa Hazina kushindwa kulipa Tsh. Bilioni 356.3 inazopaswa kulipa kila mwaka kupitia mkopo wa Tsh. Trilioni 7.4 ambao Serikali ilichukua kwaajili ya ujenzi wa SGR kutoka Mombasa hadi Naivasha.
Wananchi wamelazimika kulipa mikopo hiyo kupitia kodi baada ya...
Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania
Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi
Chanzo: TBC
MNYORORO WA THAMANI UKO WAPI; MALIGHAFI ZA TANZANIA AU BIDHAA ZINAZOZALISHWA KENYA!?
Je, ni kweli kilimo ni biashara kichaa!! Jibu ni hapana. Je, hakuna masoko ya Kilimo!? Jibu ni hapana, wapo watakaokushawishi kulima lakini mazao yakikomaa watakukwepa!! Hii ni sababu ya mnyororo wa thamani...