kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena. Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
  2. Dah! Tembea uyaone, sikujua barabara za Kenya zimeboreshwa kiasi hiki

    Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana nimekatiza kutokea gatuzi za Magharibi hadi Nairobi, barabara zimetanuliwa na kuboreshwa aki ya nani mpaka...
  3. Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  4. Karim Mandonga alivyopokelewa kwenye ofisi za Balozi wa Tanzania Nchini Kenya

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
  5. Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  6. Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

    Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana. Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga. ================ Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu. Tanzanian boxer Kareem...
  7. Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  8. M23 wakutana na aliyekua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waendelea kuachia maeneo

    Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani. ====== Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
  9. J

    Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  10. Mandonga kuzichapa Kenya

    Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi. Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya. Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
  11. Kenya na Tanzania zatatua kero 23 na mahusiano ya kibiashara

    Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku. Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
  12. Kenya after president Uhuru

    There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months the current president has been in office there has not been heard a single case of corruption...
  13. William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
  14. M

    Conman in Kenya: Someone called me claiming he had sent me money by mistake

    Saturday morning I receive a call from someone claiming he had sent me money by mistake. I told him that I had not seen the message but he can initiate the reversal. Later on, 0202110090 this guy called me saying he is from customer care safaricom threatening to switch off my line I told him to...
  15. Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  16. Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
  17. Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  18. Russia says the U.S. is moving bioweapons research facilities out of Ukraine to other countries including Kenya

    Wednesday, December 28.2022 For people who are confused about why U.S. politicians and the West, in general, are so hell-bent on helping Ukraine beat back Russia’s invasion and are convinced that it is something more than just to hide Biden family corruption in the country, Russian officials...
  19. Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  20. J

    Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

    ..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango. ..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…