kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  2. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Three myths about foreign aid to Kenya

    The World Bank and IMF have received much press attention in recent weeks in Kenya. The Kenyan Kazi Kwa Vijana (“work for youth”) initiative, which the Bank was supporting through its Youth Empowerment Project, and Government’s decision to request substantial IMF funding to support...
  3. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kenya na Tanzania

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kenya inakosea kuhusu Corona ya Tanzania

    Watanzania pia Ni binadamu wanaoogopa kufa. Isingewezekana mtu aache kujifungia (lockdown), kunawa mikono, kujisanitize, kuvaa barakoa na kukaa mbali Kama jirani zake, wafanyakazi wenzake, wanachezaji wenzake, wafanyabiashara wenzake, wanafunzi wenzake na ndugu na jamaa zake wangekuwa wanakufa...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
  6. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    UTANGULIZI: Kwa mara nyingine tena kumejitokeza “kamgogoro baridi” kati ya Kenya na Tanzania kanakofikirisha sana. Nimeona baadhi yetu tumekua wepesi kuilaumu serikali yetu kwa uharaka kutokana na kwa uamuzi "wa kibabe" wa kuifutia Kenya Airways kibali cha kuingia kwenye anga la Tanzania...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

    Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza. Sisi...
  8. Ntaghacha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

  9. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  10. Warue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malawi nao wapiga stop Kenya airways

    Kutaka kujifanya kiranja wa Africa itawatokea puani
  11. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Tanzania na Kenya wafafanua suala la kuzuia Ndege Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Hamza Johari, amesema kuwa sababu iliyopelekea na wao kuzizuia Ndege za Kenya kutua nchini ni baada ya nchi hiyo kuzuia ndege za Tanzania kutua kwao na kuongeza kuwa hali ya namna hiyo ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya kama mataifa huru ya kongole kwenu

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kenya na Tanzania ni mataifa mawili ambayo ni distinct sovereign states. Jambo la heri kabisa katika mstakabala wa kuishi kwa utengamano na kufahamiana. Kama taifa kila moja lina haki zote katika nchi yake. Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kwa...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu. Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi. Ndege hii ilikuwa...
  14. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini "Wakimwaga ugali tunamwaga mboga" "Magufuli baba lao"
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
  16. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo huhisi upungufu fulani kwa kutegemea Kenya airways kwa kiasi kikubwa

    Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikisoma hapa Jf jinsi wabongo wanavyojichokea kwa kutegemea Kenya airways kwa sana. Ninyi huwa mna hisi uchungu fulani kwamba mukitaka kuenda nje lazima mupande ndege ya Kenya. Huwa mkiona KQ kwenye airport yenu huwa mnakereka sana ila hamna namna. Inabidi...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  18. Mkikuyu- Akili timamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

    Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8. === The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries allowed air travel to Kenya. According to Transport CS James Macharia, agreed protocol dictates that...
  19. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 650 wafyekwa Kenya Airways (KQ)

    Hatari sana.
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
Back
Top Bottom