Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Kazi takribani millioni nne kupotea. Ni kilio na kusaga meno. Kwisha kazi yao, Kushobokea wazungu kunazidi kuwaponza.
=====
Makali ya janga la COVID -19 yanazidi kushuhudiwa nchini huku wafanyikazi wengi wakipoteza ajira kila uchao. Hoteli ya Fairmont ndiyo kampuni ya hivi punde kutangaza...
Kulinagana na taarifa zilzitolewa ni kwamba chuo kikuu cha Oxford kipo mbioni kufaanikisha chanjo dhidi ya virusi vya corona na kutaraji kuifanyia majaribio nchini Kenya kwa watu wazima.
Taarifa hizo zinaendelea kufahamisha kuwa chanjo hiyo itatolewa kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka...
Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa...
Waziri wa Afya ametangaza visa vipya 147 vilivyothibitika baada ya sampuli 2,831 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita.
Maambukizi mapya yamerekodiwa kutoka kaunti 11 ambapo Nairobi ina visa (90), Mombasa (41), Kiambu (3), Nyeri (2) na Uasin Gishu (2). Vingine vimetokea Kajiado, Kilifi, Embu, Homa...
Abidjan ni mji mkuu wa nchi ya Ivory Coast na pia mji kubwa zaidi nchini humo. Abidjan is also known as the Paris of Africa ,
Abidjanis the biggest and most important city of Cote d'Ivoire. With a population of around 4,000,000 people, it is the second largest city in West Africa after Lagos and...
BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa
Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus
Ukuaji...
Polisi wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kumkata kichwa mjomba wake
Kijana huyo wa miaka 20 ameripotiwa kumchinja mjomba Mei 27, wake na kupeleka kichwa kwa mke wa mjomba wake huyo, ambaye alikimbia baada ya kukiona
Sababu za kufanya tukio hilo...
COVID-19 imeua watu 55 Kenya tangu Mwezi March 2020 hadi May 2020.
Kabla ya kuendelea na lockdown ya CORONA toweni takwimu ya vifo kutokana na magonjwa mengine Kama Malaria, TB, HIV, ajali za bodaboda katika kipindi Cha kuanzia March- May 2020 same period ili kuona Ni ugonjwa gani umeua wakenya...
Mtanzania mmoja amekimbia na wenzake watatu wamekamatwa na kuwekwa Karantini baada ya kuingia katika Kaunti ya Homa Bay kinyemela siku ya Jumatatu.
Aliyekimbia alijifanya anaongea na simu wakati wakihojiwa na Mkuu wa eneo la Kagan Kusini, Sospeter Oyugi katika Kituo cha biashara huko Rangwe...
Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa.
=======
nomasana, sam999, NairobiWalker...
Business APIs in Africa are getting a boost from global venture capital thanks to a new $8.6 million round for Africa’s Talking—a Kenyan based enterprise software company.
The new financing was led by IFC Venture Capital, with participation from Orange Digital Ventures and the investor that’s...
Gaming Startup Usiku Games has launched what they describe as the first “made in Africa for Africa” video conferencing system. Dubbed Gumzo, which is Kiswahili for chatting, the new platform promises better quality calls with unlimited attendees at affordable prices.
Currently, the company says...
Binti wa miaka 17, wa kidato cha pili mkazi wa Butere Kaunti ya Kakamega, amelazimika kumuuza mwanaye mara baada ya kujifungua, baada ya kufukuzwa na baba yake mlezi kwa kuwa na ujauzito huo.
Taarifa zinasema binti huyo alifukuzwa kwa kuwa alipewa mimba na nduguye wa karibu hivyo mtoto ambaye...
It is no doubt Tanzania is strongly coming up as a real competitor and perhaps an emerging producer of the East African community. It is also true that the ease and cost of doing business in Tanzania is cheaper than it is in Kenya.
Periodic electoral chaos in Kenya associated with ethnic...
Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two economies.
Tanzania has added impetus to its economic firepower, growing by an impressive seven per cent over the...
Rwanda and Zambia came second and third respectively; with Eswatini, and Sudan scoring being the least integrated into the region.
Overall, the Index shows that levels of integration on the continent are relatively low with an average score of 0.327 out of 1.
The report observed that although...
Ukistaajabu ya Musa...
Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda.
Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.