kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. vulcan

    Kenya Tops Angola as Sub-Saharan Africa’s No. 3 Economy

    Kenya surpassed Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy in dollar terms, according to International Monetary Fund estimates. Angola has contracted every year since 2016 as oil output declined, and the kwanza was devalued in 2019 while Kenya’s shilling held steady. The coronavirus...
  2. Teargass

    Kenya doubles Tanzania in agriculture

    Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.
  3. gango2

    Covid 19: Kenya mnazidi kupaa kwenye Worldmeter, hongereni

    Haya bana, Wakenya hongereni sana! Kwenye WORLDMETERS mnazidi kupaa tu, now mmefika nafasi ya 90. Mkiingia 10 bora mtuambie basi. Sisi wenzenu Dar es Salaam tumebakiza wagonjwa 4 tu! tena wana afya nzuri! PIGENI NYUNGU nyungu nyie, acheni kushangaa, korona itawatesa, wenzenu huku Bongo...
  4. MK254

    Shukrani sana wataalam na wakuu wa Kenya kwa kuendelea kuwapima Watanzania hata wakija na makaratasi eti vyeti

    Hawa majirani tunaowajua sio wa kuchekwa nao, lazima uwe makini, vyeti watafoji kariokoo na kuja navyo eti wamepimwa, au hata wapewe tu na mamlaka zao huko bila kupimwa, kwa sasa wameshajidanganya hawana corona, hivyo utakuta hata vipimo vyenyewe hawavifanyi ili wasimuaibishe rais kwa kauli zake...
  5. Miss Zomboko

    Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa. Mkuu wa Wilaya...
  6. Trubarg

    Hatimaye Curfew imemalizika Kenya kimya kimya

    Tulisema mtaruka ruka but mtanasa ulimboni.
  7. Trubarg

    Utafiti: Polisi wa Kenya wameua watu 15 na kujeruhi wengine 31 wakati wa 'ku-enforce Curfew'

    The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus. About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting...
  8. beth

    Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

    Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
  9. Geza Ulole

    Siasa za ukabila haziwezi kuisha Kenya

    MY TAKE: If Kikwete, Mkapa, Mwinyi and Nyerere were born in Kenya, they could have not become Presidents, only Magufuli would have made it to the Presidency as the other 4 r from smaller tribes! Hivi, Mkipsig unaweza kuwa Rais Kenya leo hii? ====== The Amani National Congress leader Musalia...
  10. Analogia Malenga

    Kenya: Wafungwa 31 wakutwa na CoronaVirus

    Wafungwa 31 wamekutwa #CoronaVirus katika gereza lililoko Nairobi. Idadi hiyo imethibitishwa baada ya sampuli 59 kupimwa kwenye gereza hilo Jumapili, Mei 31 Timu ya Uokoaji na Dharura ya Nairobi imewachukua wafungwa hao ili kupata matibabu katika vituo vilivyoko nchini humo Jumamosi...
  11. MK254

    Kenya beats UK, gets selected to Steering Committee of Global Partnership Body

    President Uhuru Kenyatta's government is among three administrations elected on the steering committee of the Open Government Partnership (OGP), a global body with representation from 78 countries and a growing number of local governments. Together with Canada and Italy, Kenya will serve for a...
  12. Mkikuyu- Akili timamu

    Tetesi: Uganda wamekataa SGR ya Kenya na ardhi waliopewa bure huko Naivasha

    Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
  13. CHIPESI NAMISUKU

    Ubalozi usiwe tena ni eneo la kuwapa makada wa CCM waliokosa vyeo

    January mwaka huu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini in getupita… “Fursa hiyo ingepita si kwasababu nyingine yoyote ile, uzembe wetu wenyewe” Aliyasema...
  14. Magonjwa Mtambuka

    Lockdown yazidi kuleta hasira Kenya

    Joto la jiwe linazidi kuwa moto huko kwa manyang'au hadi uvumilivu unaanza kuwashinda. Yaani wanasiasa wanawala jamaa hivi hivi huku hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wasiojua mbele wala nyuma. Eti ni kwa sababu ya vita dhidi ya corona.
  15. Cannabis

    India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

    Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19. Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
  16. Analogia Malenga

    KENYA: Maambukizi ya Corona yafikia 1745

    Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831 Wizara ya Afya imesema pia watu 4 zaidi wamefariki na kufanya idadi ya vif kufikia 62. Vifo vinne...
  17. guwe_la_manga

    Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu. As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs. Natanguliza shukrani.
  18. MK254

    Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee. Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
  19. Geza Ulole

    Kenya barred ethanol from Tanzania

    ===== KRA intercepts ethanol worth Sh6m at Kenya-Tanzania border (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of potatoes at the Kenya-Tanzania border in Namanga. The Kenya Revenue Authority (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of...
Back
Top Bottom