kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. FRANCIS DA DON

    Je, nini hasa huvutia wageni kwenda kuuona mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya badala ya Tanzania?

    Kuna baadhi ya wadau walifikia hatua ya kusema tuweke pazia kubwa mlima Kilimanjaro kama la dirisha ili kuzuia usionekane bali tu kwa kutokea upande wa Tanzania, ila hicho kitakua kituko. Sasa tutafakari, kama ni ndege kubwa za kuketa watalii kwa direct flights tumeshanunua, kama ni kiwanja...
  2. Suley2019

    Rwanda secures dry port in Kenya

    Rwanda has secured a dry port in Kenya’s Naivasha town easing Rwanda’s access to the port of Mombasa for exports and imports. The dry port located about 560 kilometers from Port of Mombasa will be among other ways to reduce the journey freight trucks have to take for outbound exports and...
  3. Roving Journalist

    Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia. Zuio la kutotoka ndani laongezwa kwa siku 21

    Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa leo kwa siku 30 zijazo Rais Kenyatta amesema kuwa ni madereva wa magari ya kubeba mizigo pekee ambao wataruhisiwa kuingia nchini Kenya baada ya kupimwa COVID19 na kupatikana kuwa hawana...
  4. Kevin85ify

    Kenya charting the path to a green economy in Africa

    Kipeto wind energy station is a 100 MW wind power station under construction in Kajiado county. It will be the third wind power station in Kenya after the lake turkana wind power station and the Kengen Wind power station in Ngong Hills. It will be the second largest wind farm in east and central...
  5. beth

    Visa vipya 23 vya Coronavirus vyatangazwa, idadi ya wagonjwa yafikia 781

    Kenya on Friday recorded 23 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 781, Health CAS Rashid Aman has said. This is out of the 2,100 samples that were tested in the last 24 hours. 11 of the cases were from Nairobi, Mombasa (5), Kajiado (3) with Kiambu and Wajir with two...
  6. M

    Top Tanzanian news paper questions the tests done at Namanga by Kenya

    Covid-19: Tanzanian Leading Newspaper Questions The Tests Done at Namanga Border by kenya [Photo: President Magufuli (L) of Tanzania and President Uhuru of Kenya (R)] Photo/Courtesy Relationship between Tanzania and other East Africa states is deteriorating. This is after Tanzania way of...
  7. Kevin85ify

    Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

    FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
  8. J

    Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

    Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva. Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu? Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona...
  9. MK254

    Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

    Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu. Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
  10. G Sam

    Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  11. beth

    Deaths continue to rise as COVID-19 cases hit 715 in Kenya

    Kenya on Tuesday recorded 15 new cases of COVID-19, raising the country's total number to 715, Health CAS Rashid Aman has said. However, the number of fatalities in the country has risen now reaching 36 after three more fatalities were recorded in Mombasa. The CAS confirmed two died at home...
  12. Nigrastratatract nerve

    Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  13. technically

    Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

    Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa...
  14. MK254

    Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  15. mimitungi

    Matokeo ya Lockdown Kenya

  16. Influenza

    Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus Taarifa zaidi inafuata.....
  17. Miss Zomboko

    Kenya yapata wagonjwa wapya 23 wa CoronaVirus

    Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumapili katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya Rashid Aman amesema kuwa idadi ya...
  18. Sinister

    Colonel Zipporah Kioko, the new Kenya Defence Forces spokesperson

    IN SUMMARY Ms Kioko has also been promoted to full colonel, becoming among the few senior military officers in that rank and above. Women troops have continued to make progress in ranks and in being given duties that have traditionally been regarded as for men. Zipporah Kioko is the new Kenya...
  19. Nyendo

    Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

    Idadi ya visa vya Corona nchini kenya imefikia 649 baada ya kutangazwa kesi mpya 28. Katika kesi hizo 28, watu 10 ni kutoka Mombasa, 9 kutoka Nairobi, 4 kutoka Migori, 2 kutoka Kajiado na mmoja mmoja kutoka Machakos, Kiambu na Homa Bay. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa na Waziri wa Afya Dr...
Back
Top Bottom