COVID-19 Kenya: watu 48 wa familia moja wakutwa na maambukizi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza maambukizi mapya 671, yaliyotoka kwenye sampuli 62,00 zilizopimwa saa 24 zilizopita. Idadi hiyo imefanya jumla ya ya maambukizi kufikia 23,873

Katika watu hao waliothibitika kuwa na CoronaVirus 633 ni wakenya na 38 ni wageni. Pia idadi ya waliofariki imefikia 391 baada ya watu 3 kutangazwa kufariki kwa CoronaVirus

Aidha walioripotiwa kupona wamefikia 9,930 baada ya watu 603 kutangazwa kupona

===

Kenya has recorded 671 more COVID-19 cases after testing of 6,200 samples, pushing the country’s total caseload to 23,873.

Addressing the press on Wednesday from Kenyatta University hospital, Health CS Mutahi Kagwe also announced that three more patients had succumbed to the coronavirus disease bringing the number of fatalities recorded in the country so far to 391.

The 671 more patients who have tested positive are aged between 3- 94 years and include 633 Kenyans and 38 foreigners.

Some 603 more patients have also recovered from the virus; 436 under the home-based care programme and 167 being discharged from hospitals, raising the total number of recoveries to 9,930.

Out of the 671 new cases, Nairobi has the majority at 376 followed by Kiambu at 112.
 
So What?

Do you have cure......NO
Do you have vaccines......NO
Did you bilion Loan for combating Covid 19......YES

Kiitikio *song*
Wajinga NYINYI
 
Wakenya wamelogwa sio bure jamani....yaani kirusi kimewashinda kabisa...alafu na wale nzige bado wanazaliana tu
 
Back
Top Bottom