kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Akili Kubwa - Tractors made in Kenya

    Shujaa Tractors ...karibuni sana
  2. GE2020 Je, CCM mnajifunza lolote toka Kenya tunapoelekea kwenye Uchaguzi 2020?

    Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na vurugu za Kisiasa hasa wakti wa vipindi vya Uchaguzi. Wakati hayo yakiendelea hapo Kenya, hapa kwetu...
  3. M

    Forget South African ladies , Kenya has the most beautiful women in Africa here photos to prove it - opinion

    2020-10-25 12:04:40 Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the same opinion. We don't need to look far in the west to find a different taste of beautiful woman...
  4. Ifahamu BATUK - British Army Training Unit Kenya

  5. Kenya is a country synomous to hunger 57 years after independence

    Ethiopia, Somalia and Kenya face devastating drought The next rainy season in East Africa is forecast to fail, jeopardizing food security for millions of people. Act now. PDF version Every five or so years, it rips me apart to watch the same tragedy: a La Niña weather cycle brings devastating...
  6. Kenya tupeni masauti tuwape lavalava, na harmorapa.

    Hivi hakuna uwezekano wao wakenya tubadilishane watupe msanii wao masauti.. Sisi tuwape lavalava,hamisa,harmorapa, Maana sioni wanachokiimba.. Huyu masauti ukimsikiliza anasound kama mbongo yaani ni bongo flava yetu kabisa ukiskliza ngoma zake kiboko,ipepete ,deka,burudani.. Unabaki kushangaa...
  7. 24% of total households in Kenya uses LPG Gas for cooking, in Tanzania only 5% uses LPG Gas.

    I always like comparing statistical analysis of Kenya and Tanzania lakini today it seems like mashetani zangu zimenifikisha kwa LPG Gas. I was really surprised to find out that with all those noises from our neighbors about natural gas kumbe only 5% of Tanzanians use LPG gas to cook while In...
  8. Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

    Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt. Niliambia mmoja anayeitwa Naton...
  9. Kenya power resorts to buy expensive HOF thermal energy instead of cheaper geothermal

    Kenya Power on the spot for ignoring cheaper electricity Kenya Power is on the spot for prioritising expensive thermal power over the cheaper options such as geothermal and hydro, effectively setting up consumers for higher electricity prices. Data by the Energy and Petroleum Regulatory...
  10. Serikali ya Kenya ilidanganya kuhusu idadi ya barabara zenye lami

    Kenya had 11,230 kilometres of bitumen roads in 2013, according to data in the 2014 Statistical Abstract published by the Kenya National Bureau of Statistics. This closely matches the 11,000 figure used in the 2013 Jubilee manifesto. However, significant variations in official data mean that...
  11. Kenya to borrow leaf from Tanzania in cashew nut revival

    Group plans to borrow leaf from Tanzania in cashew nut revival Tuesday, October 20, 2020 Chairman of the Coast Nut Growers Association John Mumba shows some of his cashew nut trees at his 12-acre Mimando farm in Kikambala, Kilifi County earlier. What you need to know: The nut has...
  12. Kenya: Multi Billion shilling projects that will change lives for slum dwellers

    Hospitals Nairobi metropolitan services (nms) has started the construction of 24 public hospitals in all the informal settlements in Nairobi. 10 of the new hospitals will be level two and three and the rest will be level 4 hospitals. All the hospitals will require kes 2.8 billion to construct...
  13. Kenya kuanza kutumia jangwa lake kwa shughuli za utalii

    Ni muendelezo wa kupambana na kubadilisha kila hali kwenye hii nchi na kuifanya fursa. The Chalbi Desert dune belts For many years, the mention of Marsabit County conjured up images of a forsaken place full of hostile residents, banditry, cattle rustling and poor infrastructure and...
  14. Kenya to the world: kilimo biashara

    The resilience of Kenyans is just on another level, sit back and enjoy the show... Kenyan flowers now in Ghana...
  15. Akili kubwa - Kenya locally made helicopters

    Ok sawa... since some people have insisted, I also met this beautiful locally assembled chopper. Kenya kuna mambo! All you need to do is #TembeaTujengeKenya By the way, the airstrip in Nanyuki is being extended. Asanteni sana watu wa Laikipia!!!! #TembeaKenya #TTK #IsuzuDelivers #ShellFuelSave...
  16. Akili kubwa na bidii....Kenya Tourism Board nominated for excellence in policy making

    The Kenya Tourism Board (KTB) has been nominated for the 2020 Africa Tourism Leadership Awards ‘Leading in Progressive Policies’ category by Africa Tourism Partners. The other shortlisted bodies in this category are the Rwanda Tourism Development Board and Egypt for their progressive and...
  17. Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
  18. Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  19. Kenya yaitaka Uingereza iwachukulie hatua polisi wake 'waliomtesa Mkenya'

    Kenya imeiandikia Uingereza ikidai haki juu ya ukatili dhidi ya raia wa Kenya unaodaiwa kufanywa na maafisa wa polisi katika eneo la Colchester, Essex nchini humo. Tukio la ukatili huo lilichukuliwa kwenye picha ya video ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuibua hasira na vilevile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…