kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. K

    Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
  2. Midimay

    SAP za 1980s zaja Kenya. Ni masharti ya IMF

    Hali ya jirani yetu wa Kaskazini ni mbaya sana. Wanaona aibu kusema lakini hali ni mbaya. Wanapenda kutumia propaganda na kupika takwimu kuwa wako vizuri. Kuthibitisha hilo, gazeti lao wenyewe la Daily Nation limeandika article ifuatayo: ====== The government is in urgent need of cash for its...
  3. Bowie

    Somalia Yapiga Marufukuu Miruungi Kutoka Kenya

    Hali ya wakulima Miraa nchini Kenya imekuwa ngumu sana baada serikali ya Somalia kupiga marufuku miraa kutoka Kenya. Kwasasa Somalia imeruhusu miraa kutoka Ethiopia kuingia nchini humo. Zao la miraa hupatia Kenya mamilioni fedha za kigeni. Marufuku hii imefuata baada ya serikali ya Kenya kupiga...
  4. President of China

    Is Turkana part of Kenya!?

    Maisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu. Katika karne hii ya sayansi na technolojia watu wanasafirisha watoto kwa kutumia punda. Turkana ni nchi ndani ya nchi, wapo na jeshi lao. Kila mtu anamilki bunduki. Tangu Kenyatta aingie madarakani sijamsikia akitembelea maeneo yale. Yesu...
  5. May Day

    Wachekeshaji wa Kenya, not to that extent

    Kwa wenye changamoto ya bando na muda mwaweza kuanzia 2:48.
  6. Tony254

    How rich is Kenya?

  7. joto la jiwe

    DMU za zamani Kenya kutoza nauli mara 4 ya Modern BRT ya Tanzania

    Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
  8. TheDreamer Thebeliever

    Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  9. I

    Tanzania tulikosea wapi na Kenya walipatia wapi?

    Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru. Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka...
  10. Cannabis

    Hali yazidi kuwa ngumu Kenya dhidi ya Corona, Wabunge watatu watoa machozi baada ya kusikia shida madaktari wanazopitia

    Wabunge watatu leo nchini Kenya walibubujikwa na machozi baada ya Mtendaji Mkuu wa chama cha Madaktari Chibanzi Mwachonda kusimulia madhila yaliyowakuta baadhi ya madaktari waliopoteza uhai wao wakipambana na ugonjwa wa COVID-19. Chama hicho cha madaktari kimelalamika kuwa ukosefu wa posho na...
  11. Cicero

    Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    That is the bitter truth. Here is the most recent data from the IMF and extrapolation shows Kenya itazidi kuwa mbele ya Tanzania for the foreseeable future. This is by both GDP nominal and GDP Purchasing Power Parity terms. Can any level-headed person explain this trend. MATAGA and the like...
  12. MK254

    Mwendo huu hatupunguzi katu. Kenya among Most improved in Africa 2020 Report

    President Uhuru Kenyatta during a previous meeting TWITTER Kenya has been ranked among the most improved African countries in the 2020 Ibrahim Index of African Governance (IIAG). The ranking done by the Mo Ibrahim Foundation measures and monitors governance performance in African countries...
  13. vulcan

    Kenya clears direct debt to the UK

    https://www.businessdailyafrica.com/bd/economy/nairobi-clears-uk-debt-for-first-time-since-60s-3019122
  14. Tony254

    Ifahamu kampuni ya Rivatex Kenya

    Hii kampuni inaunda nguo high quality. Tazama
  15. MK254

    Zao la parachichi laendelea kuwa dhahabu Kenya

    Hongera kwa wadau wote waliohusika kutafuta masoko.... The sale and export of avocado is the main income stream for the agricultural company. FILE PHOTO | NMG Kenya’s avocado exports jumped 15 percent to 68,000 tonnes over the 12 months to October, fetching the country Sh14 billion. Kenya...
  16. joto la jiwe

    Askofu afariki baada ya kurushiwa mabomu ya kutoa machozi na polisi Kenya

    Bishop, Rev Stephen Ng'anga who hosted the Deputy President William Ruto in Kenol Muranga county in October has died. According to the church leadership the Bishop died from Pneumonia. The conditioned was triggered and worsened after the bishop inhaled tear gas fumes when the police were...
  17. MK254

    Kenya yajenga Hospitali yenye vitanda 100 ndani ya siku 90 - yajayo yanaafurahisha

    Jameni kwa mwendo huu sijui tutaibukia wapi maana kila nikifumba na kufumbua macho nakumbana na bonge la muundo mbinu unazinduliwa, imekuwa vigumu kufuatilia kipi kinajengwa wapi, nchi yote mambo yanatamalaki, sema vyombo vyetu vya habari vinatuangusha sana, hawakai waandike mazuri ya nchi, kila...
  18. joto la jiwe

    Each and every country in the the World sympathises with Kenya on debt trap, the situation is dire

    According to the Financial Times, China has transferred nearly $150 billion to governments and state-owned firms in Africa alone to secure commodity supplies and fund its global network of infrastructure projects, President Xi Jinping’s signature Belt and Road Initiative. (Reuters image)...
  19. G Sam

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

    Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Back
Top Bottom