kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

    Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Curfew to begin at 7pm in Kisumu and 12 other counties, movement restricted

    The government has reviewed COVID-19 containment measures in 13 counties within the Lake Basin region following a spike in the infection rate in the area. In a statement issued on Thursday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe said the dusk-to-dawn curfew shall begin at 7pm and end at 4am in...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Harbinder Sigh Seth amewekeza nini Tanzania kinacholipa fedha alizoelekezwa? Akirudi kwao Kenya itakuwaje?

    Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga? Ukiisoma taarifa za Kenya it's...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

    Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu. Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to rebase GDP after new Euro bond: What does this mean?

    Economists, what does this mean? That Kenya is reviewing the size of the economy later in the year. Does it mean the GDP will jump to 150 - 200B? More loans more project? ======== Treasury to rebase GDP after new Eurobond tap Kenya has kicked off its fourth Eurobond offer with a promise to...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mnamdanganya nani na budget yenu?

  7. D

    JamiiForums Tanzania Kabila la Wameru wa Kenya na wa Tanzania ni moja?

    Habari za wakati huu wakuu, Binafsi ningependa kufahamu kabila la Wameru linalopatikana mkoani ARUSHA na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara wilaya ya Simanjiro, linautofauti na Wameru wanaopatikana nchini Kenya?
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani Katiba inasemaje? Utulivu Utakuwepo?

    Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti. Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na...
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dr. Wiliam S.A. Ruto next President for the People of Kenya

    Nimefuatilia kwa muda mrefu sana siasa za hapa nchini na nimekuja na hoja hii kuwa Ruto is unstoppable for presidential position in the year 2022. Ruto thou of his betrayal by his friend President Uhuru kenyatta he played good political game and movement that can not be stopped anyhow unless...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya lifts ban on Somalia flights

    Kenya has lifted a ban on direct flights to and from Somalia barely a month after announcing a suspension of air travel between the two countries. Kenya’s foreign affairs ministry says it hopes the move will lead to full normalisation of diplomatic ties. However, the ministry said that all...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

    Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania, ukizingatia Tanzania ni muungano wa mataifa mawili yenye raslimali kedekede, sijui wana gubu au nini hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

    Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya. Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hospitals in Kenya have been injecting people with water instead of the vaccine

    Failed state kwenye ubora wake. ========= Hospitals in Kenya Have Been Injecting People With Water Instead of the Vaccine Hannah Ritchie A medical worker prepares to administer a dose of COVID-19 vaccine during an official launch of the vaccination drive in Nairobi. Photo: Xinhua/Charles...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to expand Maasai Mara airstrip

    The government is set to acquire 44.7 hectares of land for expansion of Angama Airstrip located within the Maasai Mara National Reserve in a bid to boost connectivity to a tourism-rich area. National Land Commission chairman Gershom Otachi said the State will make a compulsory acquisition of...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya wahamia Mombasa kutoka Nairobi. Je, hii ni sawa?

    Tanzanian High Commissioner to Kenya Dr John Simbachawene has moved to new consulate offices in Kizingo, Mombasa County, reports The Standard. The envoy, who is rooting for faster integration of tourism activities in Kenya and Tanzania in a bid to boost intra-boundary trade, said closer working...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikuletee nini kutoka Tanzania wewe uliepo Kenya?

    Mambo! Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa? Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania. Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kenya kuanza huduma ya kutuletea paspoti kwetu manyumbani

    Unafanya maombi na kutulia kwako sebuleni, mlango unagongwa jamaa anakupokeza cheti chako cha kusafiri, huna haja ya mifoleni tena.... The Directorate of Immigration Services and Postal Corporation of Kenya (PCK) have launched a passport delivery service. The agreement that was signed on June...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Plan to Link Eastern And Western Kenya

    Transport CS James Macharia revealed plans for the Rironi-Nakuru-Mau Summit highway at a Stakeholders Engagement Workshop on June 3, 2021. The ministry's multi-billion plan for the 233-kilometre road seeks transform the livelihoods of Kenyans living along the corridor. CS Macharia mentioned...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…