Comoro yafuzu AFCON 2021 na kuiacha Kenya

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,908
2,000
Asee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k
Screenshot_20210325_234711.jpg

Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama.
Tanzania tunafeli wapi?
Ina maana bado sisi ni wanyonge mpaka kwenye mpira kushinda Comoro?
 

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,474
2,000
Mifumo ya nch yetu nayo n shida ukiangalia vzur hao vjana wengi wanaish France na wanaile kitu URAIA PACHA inawasaidia

Umefika wakat Sasa tuache mambo ya uraia mmoja tubadilike
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,043
2,000
Hatuna academy nyingi zilizopo hazikidhi viwango hata timu kama Simba au yanga uwekezaji kwa timu za vijana ni mdogo sana hasa upande wa benchi la ufundi timu y Taifa ya vijana walimu wake ni wa kuokotwa kama Jamhuri Kiwelu
 

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,908
2,000
Mifumo ya nch yetu nayo n shida ukiangalia vzur hao vjana wengi wanaish France na wanaile kitu URAIA PACHA inawasaidia

Umefika wakat Sasa tuache mambo ya uraia mmoja tubadilike
Hata mm naona,hata msimu uliopita ilibak kidogo tu wafuzu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom